Handsome asiyekuwa na matunzo

Handsome asiyekuwa na matunzo

Wakati anaishi Mwanza huyu hakuwa hivi alikuwa na uhalisia wake alozaliwa nao.

Tatizo tu alivyoingia na kuijua Darisalami mkamharibu. Ameungana na wanaume wa darisalam.
 
Young killer Msodoki
Aaaah, shukrani mkuu, hawa mi huwa nasikia sikia majina yao tu..kuwafahamu siwafahamu. Ila wale enzi ya kina Dudubaya, Nigga J n.k mpaka Daz Nundaz nawafahamu vyema!
 
Wakati anaishi Mwanza huyu hakuwa hivi alikuwa na uhalisia wake alozaliwa nao.

Tatizo tu alivyoingia na kuijua Darisalami mkamharibu. Ameungana na wanaume wa darisalam.
Hahahaha anawaiga akina Ben kinyaiya
 
e8121877fcca758e5b9bde2c5a753909.jpg
hao ndo wanaume wasiojulikana, majority wap dar es salaam.
 
Back
Top Bottom