Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Huyu ni rap au hip hop artist?? Kutinda nyusi?? Dah, Madee hakukosea, Hip hop hailipi!
Hahahaha hata Mimi siwaelewi hawa wagumHuyu ni rap au hip hop artist?? Kutinda nyusi?? Dah, Madee hakukosea, Hip hop hailipi!
Anajiitaha hivyo kwamba yeye ni handsome hasiyekuwa na matunzo mgum sio mpaka poda kama wabana puakutinda nyusi sio uhandsome.
Anajiitaha hivyo kwamba yeye ni handsome hasiyekuwa na matunzo mgum sio mpaka poda kama wabana pua
Inashangaza sana hawa watu wanavyofosi kubadili maana ktk 'kamusi', yaani kutinda nyusi na poda kibao eti ni ugumu, dah!kutinda nyusi ndiyo ugumu??
[emoji102] [emoji101]Ndo maana sikuhizi poda na wanja zimepanda bei,watumiaji tumeongezeka hahaah
Kweli vile na lotion nazo zimepanda bei! saivi tunaenda sawa[emoji102] [emoji101]
Yakweli hayo Mkuu?!
Oooh wanaume wa wap hao Mkuu??Kweli vile na lotion nazo zimepanda bei! saivi tunaenda sawa
Young killer MsodokiNi msanii wa kuitwaje huyo? Godzila?
sasa hapo si ndo anatunzwa