Utotoni raha jamani, ona watoto wanavyopendeza. Assuming na tabia zao zinapendeza kama walivyo, yaani raha tupu!KATIKA LILE SHINDANO LA KUMSAKA KIJANA HANDSON WA JIJI LADAR washiriki walijitokeza 20 na 6 tu ndioKwahiyo basi tarehe 16/10/2013 pale pale Club Bilicanas tutafanya audition ingine kwaajili ya kuchagua washiriki wa 4, ambao wataungana na wale 6, ili kufikisha idadi ya washiriki 10, ambao watachuana vikali siku ya mwisho pale CLUB BILICANAS TAREHE 1 MWEZI WA 11 MWAKA 2013..ITAKUWA SIKU YA IJUMAA SIYO YA KUKOSA SIKU HIYO..walipatikana kulingana na vigezo Vilivyohitajika
the right question to the wrong person....
Mahandsome waanze kutembea vifua wazi ili watambulike. Mia
Babe wangu we ni handsome sana tuuu
Umeongea kweli mke wangu. Sina haja ya kutembea kifua wazi ili nionekane coz najiamini. Mia
Miili si haba naona six packs kwa mbali.
Six packs za wali maharage
Nadhani ni mkaptura tu! Sijui m-bukta! Atajua mwenyewe!hivi ile ya kwanza ni boxer?
........lol...bebii unanimaliza eehachana nae.....wivu tu unamsumbua....akiambiwa aende gym hataki.........
Mwanaume Rijali hawezi kushiriki upuuzi huu
Miili si haba naona six packs kwa mbali.
huyu namkumbuka kwenye Tamthilia za Mexico kama Juan Manuel na kwenye Muziki wa JLOThis dude is hot acha tu,.....
Hadi kesho bado namkubali ila hao hapana.nawaona kawaida sana
Wanapumuliwa hao pumbame zao