Quruxbadan
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 232
- 80
huu ni unyanya....kabisaaaaaa
utakuwa mjinga kumpiga mtu kama huyu mzinga! Uumbaji tu ni mzinga tosha
ila i dont find them handsome bali wana stable body size but beauty is in the eye of tge beer holder n ive not hold one
Best hawanitegi wala nini! Wananikera hiyo boxer yao, kwani mpaka waioneshe?nipo best! Wavae kwanini? Wanakutega hapo mitaa ya kati ama?
Wazuri kweli kweli lakini
hivi ile ya kwanza ni boxer?
Baba Paroko ni dunia ndo ina mambo au wanadam ndo wana mambo
Bila watu itakuwa dunia kweli?
utakuwa mjinga kumpiga mtu kama huyu mzinga! Uumbaji tu ni mzinga tosha
ha ha ha!!
yaani nilivyoanza tu kusoma hii sredi, nikajua tu lazima ushatia timu!!!
hata mie naona hivyo..some of them they don't have even that body to make you say waooh....
Westgate Mall terrorists were relaxed as they went about killing - YouTube kitu cha magaidi live westgateMimi sijaona boxer.......nilikuwa nawaangalia kwa mtazamo mwingine kabisaaaa........nyie sasa ndio mnaniambia mambo ya boxer........
Yeah mi sijaona wanacho compit hapo wangekuja watu na miili ya kama kina Juan miguel wavue mashati hapo sawa hawa labda wana shindana onyeshana boxer
tatizo hawa wanaenda gym lakin hata diets hawajui