Hamuwezi kuamini jamani...

Hamuwezi kuamini jamani...

6alfabet

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
389
Reaction score
69
Sina mazoea nae lakini kilicho tokea mpaka leo siamini,ni mdada mtu mzima tukiwa na mazoea ya stori za apa na pale siku moja ilitokea akiwa anarudi kazini nikamwomba nimsindikize hadi kwake bila hiyana tukafika ndani mtoto akaniwashia kideo tangu sasa 10adi02ucku nikiangalia mda umesha tembea kwangu ni mbali kidogo nakwake unajua nini kilitokea

nikamwomba anisindikize ikuwezekana basi tukakubalia kulala pamoja kitandani lakini kwa sharti pasiwe na usumbufu nikakubali mtu mzima da amuwezi amini wa dau mpaka kulikucha.

Je ninani anaweza ivyo jamani?
angalizo mm ni mwanaume nilie kamilika kila idara binafsi nimeshindwa kuamini kilicho tokea
 
We ni Joka la Maonesho/kibisa. Nishajiridhisha pasipo shaka yoyote.

Huyo dada anawe mikono tu.! Juhudi zote kukuvizia na kukuleta kwake msobe msobe, kukulaghai usiondoke, kukutega, Bado BILA BILA!!!!!!!!! Kiruuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! Mburaaaaaaaaaaa!
 
man thats normal kwa mtu anaejiheshimu! binafsi nshafanya hivyo mara kadhaa.
 
sasa kama hatuwezi kuamini,

kwanini umeileta hapa kikaangoni?

btw, unaweza kutuelezea hicho kipengele cha ukamilifu wa mwanaume kwa uyakinifu?
 
We ni Joka la Maonesho/kibisa. Nishajiridhisha pasipo shaka yoyote.

Huyo dada anawe mikono tu.! Juhudi zote kukuvizia na kukuleta kwake msobe msobe, kukulaghai usiondoke, kukutega, Bado BILA BILA!!!!!!!!! Kiruuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! Mburaaaaaaaaaaa!

kwahiyo ulitaka azini?????
 
Sina mazoea nae lakini kilicho tokea mpaka leo siamini,ni mdada mtu mzima tukiwa na mazoea ya stori za apa na pale siku moja ilitokea akiwa anarudi kazini nikamwomba nimsindikize hadi kwake bila hiyana tukafika ndani mtoto akaniwashia kideo tangu sasa 10adi02ucku nikiangalia mda umesha tembea kwangu ni mbali kidogo nakwake unajua nini kilitokea

nikamwomba anisindikize ikuwezekana basi tukakubalia kulala pamoja kitandani lakini kwa sharti pasiwe na usumbufu nikakubali mtu mzima da amuwezi amini wa dau mpaka kulikucha.

Je ninani anaweza ivyo jamani?
angalizo mm ni mwanaume nilie kamilika kila idara binafsi nimeshindwa kuamini kilicho tokea
kawaida tu, mimi nimeshalala kitanda kimoja na mademu sita siku tofautitofauti na sikuwagusa kabisaaa, kwa sababu nilikua najua kwa 90% bwana zao wana vile virus fulani hivi.
 
nakupongeza sana kaka. unajua watu uzinzi wanalichukulia jambo la kawaida sana
pongezi nachukua ila me sio kaka. ila ukiwa na watu wanaojiheshim inawezekana!
 
...!!!hongera kaka........ina maana hata kusimama iligoma?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom