Hivi mtu ukikeketwa unakuwa na mihamu kweli?Ulipata huduma ya Ngariba?
Ni "hamu" ya 'kuingiliwa' au ni ya kufanya mapenzi kwa ujumla (not necessarily kuwe na intercourse)?Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
nahs huyu atakuwa amemletea mtu mada hapa sio yeye.
ama la ana kidumu kapata sasa kwasababu ndani hapati mkuyati hamu inamalizwa na huyo Bazazi alompata.
BTW mapenzi ya kuanza huwa ya staili hiyo kwamba kila siku lazima mfanye na tena sio mara moja ama mbili wengine hadi 6. ila kadiri mnavyozidi kuish hamu hupungua kutokana na mazingira na uchovu wa mwili hasa kwa wale wanaofanya kazi ngumu za kutumia akili sana muda wote. kama wahandisi ama watu wa kwenye migodi. hapa nafikiri Ndahani na Asprin watakuwa wamenielewa vyema zaidi
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
mmmhhhhhhhhhhhhh