mang'ang'a
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 828
- 379
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
ina maana unapenda kuTOA MBWAkitandani sana????