Hamu isiyoisha

Hamu isiyoisha

hata tusipojifungia, wakati mwingine natamani tufanye hata tukiwa kwenye gari.
Siku moja kwenye machaka ya Coco Beach nilibanwa, tukapanddisha vioo na ku lock gari, hazikupita dakika kumi polisi wakalizunguka gari.[
Yaani hii hamu iko very costingQUOTE=Suprise;5240718]muache kujifungia chumbani masaa yote kuangaliana
[/QUOTE]
hujamaliza stori,ikawaje?
 
Nazjaz, jitahidi kujizuia kwa kutafuta shughuli nyingine unapoanza kupata hamu kali ya ngono kwani kilele kimoja huita kingine. Kadri unavyofanya mara kwa mara ndio hamu itazidi zaidi. Kama tatizo likizidi muone mwanasaikolojia anaweza kukusaidia kwa ushauri nasaha.
 
Nenda kwa kakobe ukaombewe, i am serious, hili ni pepo, labda kama unataka watu wacheke!!!!!!!
 
achana na ile kitu kabisa..yaani hapa kui-discuss tu nimeanza kusikia hamu
 
kumbe tupo wengi...mie mpaka sometimes naona bora nilikate tuu dushelele langu maana unakuwa utumwa
 
hata tusipojifungia, wakati mwingine natamani tufanye hata tukiwa kwenye gari.
Siku moja kwenye machaka ya Coco Beach nilibanwa, tukapanddisha vioo na ku lock gari, hazikupita dakika kumi polisi wakalizunguka gari.[
Yaani hii hamu iko very costingQUOTE=Suprise;5240718]muache kujifungia chumbani masaa yote kuangaliana
[/QUOTE]

Bdo mpya huyo utafika wakati hata round moja itakuwa ni ya kusensi kwa bf wa zamani.
 
natamani nikuoe, wangu ananipa kwa masharti sana.
 
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
dah! wewe mwanamke wewe ,nina mambo mengi ya kuchangia hapa ila nimechelewa na nina muda mdogo sana wiki hii kupita pita humu jukwaani
 
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali

Hii siyo hali ya kawaida lazima utakuwa na nyege za nzi, yaani unato.mbana tu lakini hujuwi kucheza na ndiyo maana una nguvu zisizoisha au la utakuwa ndiyo kwanza umebalee. Muulize Mheshimiwa waziri mtarajiwa MziziMkavu akutafutie dawa ya kufurahia tendo la ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Ye mwenyewe anahangaika na kula vitunguu saumu,asali na mdalasini, nguvu hana, kama anabisha aseme hapa
Hii siyo hali ya kawaida lazima utakuwa na nyege za nzi, yaani unato.mbana tu lakini hujuwi kucheza na ndiyo maana una nguvu zisizoisha au la utakuwa ndiyo kwanza umebalee. Muulize Mheshimiwa waziri mtarajiwa MziziMkavu akutafutie dawa ya kufurahia tendo la ndoa.
 
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali

Kuna mahali atakuwa hajakugusa ili kuweza kukuridhisha come for a friendly match wil see what we can do....
 
usije nifia bure... nani anayetaka cheap clearks kama wewe?

Back
Top Bottom