daaaah una hamu wewehata tusipojifungia, wakati mwingine natamani tufanye hata tukiwa kwenye gari.
Siku moja kwenye machaka ya coco beach nilibanwa, tukapanddisha vioo na ku lock gari, hazikupita dakika kumi polisi wakalizunguka gari.[
duuuh sasa anaweza jamani ? Utamuua kijana wa watu jamani 4 hours anapumuaje?nilimtafutia dawa, nikamwambia kama yeye laptop kwake ni kila kitu, basi mi ntamaliza rafiki zake wote
utamuuua mwenzako! haya! yaani nimecheka leo!Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
Zion Daughter mwana maombi mwenzangu, hebu njoo huku fasta tukemeee mapepo