Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Katiba ya Nchi inasemaje?Pole pole mnamuonaje nyie? Yule anaitwa ruling party, hivi hamuelewi hilo jamani? Na ni wa makao makuu. Wamepewa dhamana ya nchi na mwisho wa kipindi wao ndo wataulizwa.
Ombeni vibali kwa OCD
Pole pole mnamuonaje nyie? Yule anaitwa ruling party, hivi hamuelewi hilo jamani? Na ni wa makao makuu. Wamepewa dhamana ya nchi na mwisho wa kipindi wao ndo wataulizwa.
Ombeni vibali kwa OCD
Mbona unachanganya madawa nduguHiyo Dhamana ili itekelezeke wanatakiwa kushirikiana na nani kama sio Wananchi ,wanao wakilishwa na Wawakilishi wao -Wabunge ?..Sasa mnapo mmbana Mbunge maana yake mme wabana Wananchi, sio lazima Wananchi wawasikilize ninyi tu wenye Madaraka ama sivyo ondoeni hii Mambo ya Demokrasia Feki..
Unemuuliza swali zuri sana huyo kada wa Lumumba
Ahaaaaa wanaomba kibali wanapewa CCM oyeeeeeWaliuliza viongizi wa dini pale ikulu wakajibiwa..."ni rahisi tu,wanaomba "kibare" kwa polisi wanapewa.Halafu wanafanya mikutano"...!Ni hayo tu kwa sasa.
Nape alisifiwa sana leo anaungama bila parokoHamna watu majuha nchi hii kama CHADEMA . wanachojuwa wao ni magwada tu
Hapo kabla wapinzani walipokuwa wakizunguka, ruling party walikuwa hawaulizwi? Eneo lenye mbunge wa Chadema na diwani wa CCM nani anuruhusiwa na nani haruhusiwi kufanya mkutano wa hadhara?Pole pole mnamuonaje nyie? Yule anaitwa ruling party, hivi hamuelewi hilo jamani? Na ni wa makao makuu. Wamepewa dhamana ya nchi na mwisho wa kipindi wao ndo wataulizwa.
Eti pia tunatoa mifano ya RSA kuwa na RULE OF LAW Hahaha kwani waliiokota kama embe dodo?always haki haiji kwenye sliver plate,yanayotokea Sudan na Venezuela now,kwetu yanaonekana kama sinema ila matunda yao watakuja kuyapata,sisi tuendeleze maandamano na malalamiko kwenye hizi comfort zone zetu,otherwise unga mkono juhudi!!!
Mlishashindwa mtulie mpaka 2020 ndo mlete tena uongo wenu tuwamwage msubiri tena 2025.Hiyo Dhamana ili itekelezeke wanatakiwa kushirikiana na nani kama sio Wananchi ,wanao wakilishwa na Wawakilishi wao -Wabunge ?..Sasa mnapo mmbana Mbunge maana yake mme wabana Wananchi, sio lazima Wananchi wawasikilize ninyi tu wenye Madaraka ama sivyo ondoeni hii Mambo ya Demokrasia Feki..