Hamphrey Polepole anazunguka nchi zima kukipigania chama chake na si mbunge lakini wabunge wa Upinzani nikukamata kila kukicha je nisahihi?

Waliuliza viongizi wa dini pale ikulu wakajibiwa..."ni rahisi tu,wanaomba "kibare" kwa polisi wanapewa.Halafu wanafanya mikutano"...!Ni hayo tu kwa sasa.
 
Pole pole mnamuonaje nyie? Yule anaitwa ruling party, hivi hamuelewi hilo jamani? Na ni wa makao makuu. Wamepewa dhamana ya nchi na mwisho wa kipindi wao ndo wataulizwa.
 
always haki haiji kwenye sliver plate,yanayotokea Sudan na Venezuela now,kwetu yanaonekana kama sinema ila matunda yao watakuja kuyapata,sisi tuendeleze maandamano na malalamiko kwenye hizi comfort zone zetu,otherwise unga mkono juhudi!!!
 
Hiyo Dhamana ili itekelezeke wanatakiwa kushirikiana na nani kama sio Wananchi ,wanao wakilishwa na Wawakilishi wao -Wabunge ?..Sasa mnapo mmbana Mbunge maana yake mme wabana Wananchi, sio lazima Wananchi wawasikilize ninyi tu wenye Madaraka ama sivyo ondoeni hii Mambo ya Demokrasia Feki..
 
huyo polepole kwani anaomba vibali?
Sheria ya vyama vya siasa inaruhusu mikutano ya vyama
Halafu watu wanaibiuka eti nchi inaendeshwa kwa kufuata sheria.
Upumbavu mtupu
 
Ombeni vibali kwa OCD

Vibali vinatakiwa kutolewa Taarifa tu sio kuomba ,na vinapo tolewa Taarifa ndio huja sababu za kisiasa ili tu kuwanyima Watu wengine Haki zao.Cha ajabu Wapinzani waki 'force una shangaa walipo toka Polis wa kutawanya Watu ambao Polis ilisema haiwezi kuwapa Ulinzi.
 
Hiyo Dhamana ili itekelezeke wanatakiwa kushirikiana na nani kama sio Wananchi ,wanao wakilishwa na Wawakilishi wao -Wabunge ?..Sasa mnapo mmbana Mbunge maana yake mme wabana Wananchi, sio lazima Wananchi wawasikilize ninyi tu wenye Madaraka ama sivyo ondoeni hii Mambo ya Demokrasia Feki..
Mbona unachanganya madawa ndugu
 
Nchi inaendeshwa kwa Katiba ya nchi na Katiba hiyo ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inaeleza wazi kuwa nchi hii itaendeshwa kidemokrasia na ni ya vyama Vingi

Lakini kimatendo ni vice versa, ni kama nchi bado ipo kwenye mfumo wa Chama kimoja!
 
Pole pole mnamuonaje nyie? Yule anaitwa ruling party, hivi hamuelewi hilo jamani? Na ni wa makao makuu. Wamepewa dhamana ya nchi na mwisho wa kipindi wao ndo wataulizwa.
Hapo kabla wapinzani walipokuwa wakizunguka, ruling party walikuwa hawaulizwi? Eneo lenye mbunge wa Chadema na diwani wa CCM nani anuruhusiwa na nani haruhusiwi kufanya mkutano wa hadhara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
always haki haiji kwenye sliver plate,yanayotokea Sudan na Venezuela now,kwetu yanaonekana kama sinema ila matunda yao watakuja kuyapata,sisi tuendeleze maandamano na malalamiko kwenye hizi comfort zone zetu,otherwise unga mkono juhudi!!!
Eti pia tunatoa mifano ya RSA kuwa na RULE OF LAW Hahaha kwani waliiokota kama embe dodo?
 
Hiyo Dhamana ili itekelezeke wanatakiwa kushirikiana na nani kama sio Wananchi ,wanao wakilishwa na Wawakilishi wao -Wabunge ?..Sasa mnapo mmbana Mbunge maana yake mme wabana Wananchi, sio lazima Wananchi wawasikilize ninyi tu wenye Madaraka ama sivyo ondoeni hii Mambo ya Demokrasia Feki..
Mlishashindwa mtulie mpaka 2020 ndo mlete tena uongo wenu tuwamwage msubiri tena 2025.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom