Hamkani si shwari tena

Hamkani si shwari tena

Hii habari inaniogopesha......
Imenikumbusha crush yangu ya kwanza kukutana nayo barabarani Ali Hassan Mwinyi road. Alikuwa dereva wa Nissan Patrol old model nyeupe namba zinafanana kama hizo see lenyewe halikuwa tinted hivo kunirahisishia kuonana na dereva hata tukaanza kupungiana.

Nakumbuka alielekea uelekeo wa Namanga msasani wakati mie nilikuwa nanyooka Morocco hadi mwenge.

Kwa mtindo huu crush naacha Mmh kifo kinatisha aiseeh.
 
9691fa6a9b2d994cfb8a4dc3df76a6e7.jpg

Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat

Sent using Jamii Forums mobile app

Unachotaka kutuaminisha ni nini???
 
Swadakta mshana, hivi huna mdogo wako angalau tukaunga undugu,

Naweza pata mtoto genius

invest what you are willing to lose
 
9691fa6a9b2d994cfb8a4dc3df76a6e7.jpg

Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nguo alizoshika dereva ni sile walizomfunikia kuzuia damu

invest what you are willing to lose
 
9691fa6a9b2d994cfb8a4dc3df76a6e7.jpg

Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat

Sent using Jamii Forums mobile app
basi mwenyewe ulivyo mjinga,unajiona umeandika comment ya maana....smh.
 
Umegundua kiongozi eh....!!
tangu juzi naona kila uchochoro nikiingia nakutana nazo nikataka nijifunzie kuandika uzi ila akili yangu fupi ikagoma kabisa kwa jambo hilo refu! halafu wanajuhudi za kunzisha mada chokozi kuzidi hata wrnyeji
 
Hii habari inaniogopesha......
Imenikumbusha crush yangu ya kwanza kukutana nayo barabarani Ali Hassan Mwinyi road. Alikuwa dereva wa Nissan Patrol old model nyeupe namba zinafanana kama hizo see lenyewe halikuwa tinted hivo kunirahisishia kuonana na dereva hata tukaanza kupungiana.

Nakumbuka alielekea uelekeo wa Namanga msasani wakati mie nilikuwa nanyooka Morocco hadi mwenge.

Kwa mtindo huu crush naacha Mmh kifo kinatisha aiseeh.
Missing you Kasie where have you been?

Jr[emoji769]
 
Swadakta mshana, hivi huna mdogo wako angalau tukaunga undugu,

Naweza pata mtoto genius

invest what you are willing to lose
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sifai? [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Jr[emoji769]
 
Mipango ilikuwa ni kumuua mlengwa na ikibidi na dereva pia.... Intelijensia iliyotumika haikupangwa na watalaam na pengine kitengo cha usalama mkuu hakikujulishwa ama la kama kikijulishwa zilikuwa habari nusunusu

Kujiamini kulikopitiliza bila kujua kuwa dereva anawachora walianza kulifuatilia gari la mlengwa tangu mbali... Hili lilimpa dereva muda wa kutosha kuisoma na kuikariri number ya usajili (kosa lingine kubwa)
Dereva alilipeleka gari la mlengwa mpaka kwenye maegesho pembeni ya gari nyingine karibu kabisa

DEREVA ALIOKOKAJE NA RISASI ZOTE ZILE?
Umakini, kujipanga, maamuzi sahihi na kudra za mwenyezi Mungu vilisaidia...
Kufika kwenye maegesho wakapaki gari lakini hawakushuka.... Watu wale wasiojulikana wakiwa kwenye gari jeupe wakasogea karibu kabisa na gari la mlengwa lenye vioo vya giza (pengine na la kwao pia lilikuwa na vioo vya Giza)

Assumptions za kukurupuka zikawatuma kuwa mlengwa bado yuko kwenye seat yake ya mbele kushoto na amejawa na woga tele... Hivyo wamshtukize kwa mziki wa risasi... Kazi ikaanza PA!PA! PA! PA! 1 mpaka 30 kishapo jumlisha 8 idadi yake 38

Wanaume wakijua kwa mziki ule washamaliza kazi wakaondoka kwa kujiamini kabisa (kosa la tatu kubwa). Ili uweze kufyatua risasi inabidi ufungue vioo vya gari yako hivyo sura yako kuonekana ni lazima kapelo na miwani mweusi...!

V8 liko juu, Nissan patrol old model iko chini kidogo, nikiwa upande wa dereva wa V8 na wewe uko kwenye Nissan, nikifungua mlango huwezi kuniona....
Dereva alishatoka na kuingia uvungu wa gari ya pili pembeni yake (assumption) mlengwa alishachumpa seat ya dereva japo kwa kuchelewa kidogo na inawezekana naye alichumpa nje (bila kujulikana/kuonekana)

Risasi 38, 30 SMG, 8 PISTOL zikachakaza urembo wa ndani wa V8, bila kuleta madhara kusudiwa.... Ukiwa makini baada ya tendo lazima ukague mazingira (hilo halikufanyika na ni kosa la NNE)

Hamkani si shwari tena, yatokanayo yanaaza kujifunua, dereva hayupo tena, yuko mbali na mkono muovu... Ila alikariri number T 932 AKN kapelo na miwani. Ukiona mtu hatulii kwenye kiti... Ujue halmashauri ya oblongata yake iko busy kupanga na kupangua

Jr[emoji769]
Mshana unapoteza muda kushawishi watu serikali imehusika.....
In short unaamsha dude usilolijuwa...
Lisu anamengine tusubiri serikali ilete taarifa...
 
Uzuri wa Tz you can be anybody, mwanasiasa, engineer, waziri, mpelelezi, makinika, mchawi, forensic investigator, polisi, makinika n.k
Tumuombee Lissu apone aendelee kupigania anachokiamini.

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umenichekesha sana,mie nataka kuwa makinikia😀
 
Mshana unapoteza muda kushawishi watu serikali imehusika.....
In short unaamsha dude usilolijuwa...
Lisu anamengine tusubiri serikali ilete taarifa...
Hiyo ni tafsiri yako hebu nioneshe huo ushawishi uko wapi

Jr[emoji769]
 
Missing you Kasie where have you been?

Jr[emoji769]

I miss you too mshana jr ... alot more.
I wish to have a lunch date with you one day ila naogopa location yako... msata mmhhh sijui napata taswira gani, ila niko muoga tuu nothing serious, na kutunguliwa siku hizi nje nje.

Am still around here nakuwa nakusoma tuu na kuchukua notsi.

Asubuhi hii nakutumia kumbato la Kasie lipunguze kumisiana kwetu.
Mwaah!!

Kasie mahaba.
 
Mwaaa Kasie usije Msata njoo Kibaha

Jr[emoji769]
 
Mwaaa Kasie usije Msata njoo Kibaha

Jr[emoji769]

Oooh yeaah. ...
Kwa mualiko huu nauprint ili iwe kibali cha kuingia kwenye himaya ya kando ya mshana jr huko Kibaha. Hapo ntafika, bado kujua siku na saa tuu, ila isiwe hapa upenuni maana unaweza shangaa siku hiyo magari ya naishia kibamba au mbezi mwisho wa kibaha hakuna kuingia wala kutoka.... hehehehehee

Haya nikutakie jioni njema yenye afya na ladha tele na njozi njema pia.

Kasie mahaba.
 
Back
Top Bottom