Hamkani si shwari tena

Hamkani si shwari tena

9691fa6a9b2d994cfb8a4dc3df76a6e7.jpg

Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasumbuliwa na ujinga angalia vizuri hio ni suruali ameshika dereva huo weupe ni mifuko kwa ndani suruali ya khaki tena ina mkanda mbona mnajitia upofu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9691fa6a9b2d994cfb8a4dc3df76a6e7.jpg

Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mnatumia vigezo vipi kusema kuwa hili ni shati enyi walaaniwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9691fa6a9b2d994cfb8a4dc3df76a6e7.jpg

Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe kwa akili yako hio nyeupe apo ni shati?
 
9691fa6a9b2d994cfb8a4dc3df76a6e7.jpg

Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu ni vibwenye sana. Yaani kweli unahisi mtu anaweza fanyiwa operesheni au huduma ya kwanza huku amevaa shati.
 
Kwanza kama wanachama tupewe haki ya kujua gharama halisi ya matibabu na kama ziliishia kwenye urembo wa v8 hii mguu, nyonga na mkono uliovunjwa vunjwa na mtu kutorudi kama zamani inatoka wapi huyu dereva anapata matibabu ili nae auwawe kwa kushindwa kutekeleza mauaji kama dereva mallya dhidi ya chacha wangwe!
 
Mipango ilikuwa ni kumuua mlengwa na ikibidi na dereva pia.... Intelijensia iliyotumika haikupangwa na watalaam na pengine kitengo cha usalama mkuu hakikujulishwa ama la kama kikijulishwa zilikuwa habari nusunusu

Kujiamini kulikopitiliza bila kujua kuwa dereva anawachora walianza kulifuatilia gari la mlengwa tangu mbali... Hili lilimpa dereva muda wa kutosha kuisoma na kuikariri number ya usajili (kosa lingine kubwa)
Dereva alilipeleka gari la mlengwa mpaka kwenye maegesho pembeni ya gari nyingine karibu kabisa

DEREVA ALIOKOKAJE NA RISASI ZOTE ZILE?
Umakini, kujipanga, maamuzi sahihi na kudra za mwenyezi Mungu vilisaidia...
Kufika kwenye maegesho wakapaki gari lakini hawakushuka.... Watu wale wasiojulikana wakiwa kwenye gari jeupe wakasogea karibu kabisa na gari la mlengwa lenye vioo vya giza (pengine na la kwao pia lilikuwa na vioo vya Giza)

Assumptions za kukurupuka zikawatuma kuwa mlengwa bado yuko kwenye seat yake ya mbele kushoto na amejawa na woga tele... Hivyo wamshtukize kwa mziki wa risasi... Kazi ikaanza PA!PA! PA! PA! 1 mpaka 30 kishapo jumlisha 8 idadi yake 38

Wanaume wakijua kwa mziki ule washamaliza kazi wakaondoka kwa kujiamini kabisa (kosa la tatu kubwa). Ili uweze kufyatua risasi inabidi ufungue vioo vya gari yako hivyo sura yako kuonekana ni lazima kapelo na miwani mweusi...!

V8 liko juu, Nissan patrol old model iko chini kidogo, nikiwa upande wa dereva wa V8 na wewe uko kwenye Nissan, nikifungua mlango huwezi kuniona....
Dereva alishatoka na kuingia uvungu wa gari ya pili pembeni yake (assumption) mlengwa alishachumpa seat ya dereva japo kwa kuchelewa kidogo na inawezekana naye alichumpa nje (bila kujulikana/kuonekana)

Risasi 38, 30 SMG, 8 PISTOL zikachakaza urembo wa ndani wa V8, bila kuleta madhara kusudiwa.... Ukiwa makini baada ya tendo lazima ukague mazingira (hilo halikufanyika na ni kosa la NNE)

Hamkani si shwari tena, yatokanayo yanaaza kujifunua, dereva hayupo tena, yuko mbali na mkono muovu... Ila alikariri number T 932 AKN kapelo na miwani. Ukiona mtu hatulii kwenye kiti... Ujue halmashauri ya oblongata yake iko busy kupanga na kupangua

Jr[emoji769]
HEKAYA
 
9691fa6a9b2d994cfb8a4dc3df76a6e7.jpg

Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww nawe huoni kuwa shatinalilowekewa chini ya kichwa ndilo?? Halafu hakuna kitu kinaudhi kama mtu na akili zake timamu anasema movie?? Movie mtu apigwe risasi zote hizo? Movie ni nyie mnaotafuta watu kwa udi na uvumba
 
9691fa6a9b2d994cfb8a4dc3df76a6e7.jpg

Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada wa taifa alishatoa maelezo ya hii picha..... usitupotezee muda.
 
Back
Top Bottom