Kwa hiyo walilenga target yao vibayaMipango ilikuwa ni kumuua mlengwa na ikibidi na dereva pia.... Intelijensia iliyotumika haikupangwa na watalaam na pengine kitengo cha usalama mkuu hakikujulishwa ama la kama kikijulishwa zilikuwa habari nusunusu
Kujiamini kulikopitiliza bila kujua kuwa dereva anawachora walianza kulifuatilia gari la mlengwa tangu mbali... Hili lilimpa dereva muda wa kutosha kuisoma na kuikariri number ya usajili (kosa lingine kubwa)
Dereva alilipeleka gari la mlengwa mpaka kwenye maegesho pembeni ya gari nyingine karibu kabisa
DEREVA ALIOKOKAJE NA RISASI ZOTE ZILE?
Umakini, kujipanga, maamuzi sahihi na kudra za mwenyezi Mungu vilisaidia...
Kufika kwenye maegesho wakapaki gari lakini hawakushuka.... Watu wale wasiojulikana wakiwa kwenye gari jeupe wakasogea karibu kabisa na gari la mlengwa lenye vioo vya giza (pengine na la kwao pia lilikuwa na vioo vya Giza)
Assumptions za kukurupuka zikawatuma kuwa mlengwa bado yuko kwenye seat yake ya mbele kushoto na amejawa na woga tele... Hivyo wamshtukize kwa mziki wa risasi... Kazi ikaanza PA!PA! PA! PA! 1 mpaka 30 kishapo jumlisha 8 idadi yake 38
Wanaume wakijua kwa mziki ule washamaliza kazi wakaondoka kwa kujiamini kabisa (kosa la tatu kubwa)
Ili uweze kufyatua risasi inabidi ufungue vioo vya gari yako hivyo sura yako kuonekana ni lazima kapelo na miwani mweusi...!
V8 liko juu, Nissan patrol old model iko chini kidogo, nikiwa upande wa dereva wa V8 na wewe uko kwenye Nissan, nikifungua mlango huwezi kuniona....
Dereva alishatoka na kuingia uvungu wa gari ya pili pembeni yake (assumption) mlengwa alishachumpa seat ya dereva japo kwa kuchelewa kidogo na inawezekana naye alichumpa nje (bila kujulikana/kuonekana)
Risasi 38, 30 SMG, 8 PISTOL zikachakaza urembo wa ndani wa V8, bila kuleta madhara kusudiwa.... Ukiwa makini baada ya tendo lazima ukague mazingira (hilo halikufanyika na ni kosa la NNE)
Hamkani si shwari tena, yatokanayo yanaaza kujifunua, dereva hayupo tena, yuko mbali na mkono muovu... Ila alikariri number T 932 AKN kapelo na miwani
Ukiona mtu hatulii kwenye kiti... Ujue halmashauri ya oblongata yake iko busy kupanga na kupangua
Jr[emoji769]
Mkuu natamani hizi habari zisiandikwe tena, zinaniumiza mno, zinanijengea chuki nzito.Mimi [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Jr[emoji769]
Umegundua kiongozi eh....!!ID mpya za 2017 nyingi majanga
Jr[emoji769]
Ndo umekaririshwa argument hii tu? maana nakuona kote kwenye uzi wa maudhui hii content yako ya argument ni hii hii!!!
Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat
Sent using Jamii Forums mobile app
hata kama ni jeupe...linabadili nini? kwamba lissu hajashambuliwa au?Sioni kinachoshabihiana na shati jeupe hapo lakini
Jr[emoji769]
Kwa hiyo point yako ni nini hasa? Kwamba Tundu Lissu hajapigwa risasi au? Maana ni muda sasa naona hiyo pocha na hayo maelezo mnayaandika ki kuku kuku tu.
Shati alilovaa kabla hajaondoka bungeni ni la bluu ,alilopigwa nalo risasi jeupe
Hii movie imekosewa kidogo tu lakini wangerekebisha kidogo Hollywood ingeingia
Stering mpenda kiki hormorapa
Baada ya lowassa kuingia chadema sects ya maigizo imezidi kushika chat
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalazimisha tuamini kwamba dereva kashika shati, lakini hawataji suruali, wala vest, wala koti.Wewe aliekwambia hilo shati aliloshika ndo alikuwa amelivaa ni nani?haiwezi kuwa vest labda au hapo kwenye pic ushaikunjua hiyo nguo kwa hisia kwamba ni shati na kwasababu akili zako zinaamini hivyo unataka na sisi tuamini!je kama ni moja ya nguo zake walizozichukuwa dry cleaner wakatumia kuzuia damu isiendelee kumvuja utajuaje.
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Ndiyo ukweli ambao huwa hausemwi na wahusika.Ndo kazi pekee wanayoiweza watanzania. Talk talk
Mkuu umeandika ukweli tena ukweli mkuuMipango ilikuwa ni kumuua mlengwa na ikibidi na dereva pia.... Intelijensia iliyotumika haikupangwa na watalaam na pengine kitengo cha usalama mkuu hakikujulishwa ama la kama kikijulishwa zilikuwa habari nusunusu
Kujiamini kulikopitiliza bila kujua kuwa dereva anawachora walianza kulifuatilia gari la mlengwa tangu mbali... Hili lilimpa dereva muda wa kutosha kuisoma na kuikariri number ya usajili (kosa lingine kubwa)
Dereva alilipeleka gari la mlengwa mpaka kwenye maegesho pembeni ya gari nyingine karibu kabisa
DEREVA ALIOKOKAJE NA RISASI ZOTE ZILE?
Umakini, kujipanga, maamuzi sahihi na kudra za mwenyezi Mungu vilisaidia...
Kufika kwenye maegesho wakapaki gari lakini hawakushuka.... Watu wale wasiojulikana wakiwa kwenye gari jeupe wakasogea karibu kabisa na gari la mlengwa lenye vioo vya giza (pengine na la kwao pia lilikuwa na vioo vya Giza)
Assumptions za kukurupuka zikawatuma kuwa mlengwa bado yuko kwenye seat yake ya mbele kushoto na amejawa na woga tele... Hivyo wamshtukize kwa mziki wa risasi... Kazi ikaanza PA!PA! PA! PA! 1 mpaka 30 kishapo jumlisha 8 idadi yake 38
Wanaume wakijua kwa mziki ule washamaliza kazi wakaondoka kwa kujiamini kabisa (kosa la tatu kubwa). Ili uweze kufyatua risasi inabidi ufungue vioo vya gari yako hivyo sura yako kuonekana ni lazima kapelo na miwani mweusi...!
V8 liko juu, Nissan patrol old model iko chini kidogo, nikiwa upande wa dereva wa V8 na wewe uko kwenye Nissan, nikifungua mlango huwezi kuniona....
Dereva alishatoka na kuingia uvungu wa gari ya pili pembeni yake (assumption) mlengwa alishachumpa seat ya dereva japo kwa kuchelewa kidogo na inawezekana naye alichumpa nje (bila kujulikana/kuonekana)
Risasi 38, 30 SMG, 8 PISTOL zikachakaza urembo wa ndani wa V8, bila kuleta madhara kusudiwa.... Ukiwa makini baada ya tendo lazima ukague mazingira (hilo halikufanyika na ni kosa la NNE)
Hamkani si shwari tena, yatokanayo yanaaza kujifunua, dereva hayupo tena, yuko mbali na mkono muovu... Ila alikariri number T 932 AKN kapelo na miwani. Ukiona mtu hatulii kwenye kiti... Ujue halmashauri ya oblongata yake iko busy kupanga na kupangua
Jr[emoji769]
Halafu na wewe umeamini?Nimeambiwa nisichangie vi2 vyenyr cvjui......ni uchochez na ctak kupmwa mkojo mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaamin lakin naogopa kupimwa mkojo.Halafu na wewe umeamini?
Jr[emoji769]