Hamisi Kilomoni alindwe

20bn hiko wapi? Ahadi kibao huku anajipa competitive advertising advantage Africa nzima na football global connections bila kutoa chochote ila maneno. Hizo anazotoa Ni ndogo uklinganisha na flagship anayopewa na Simba Ss
Hiko = iko.
 
Bora ungeomba nifafanue why nasema hivyo lakini unaanza na matusi *lofa* hivi unaweza Thibitisha mm lofa?? Hebu Lete huo mkataba uliouona unasema mwenye 49% atoe 20bn na mwenye 51% akae kimya??
Unajiaibisha mkuu,
Mo amenunua hisa 49% sasa hapa kinachoulizwa ni pesa ya kununua hizo 49%
Baada ya kununua hizo 49% ndiyo mchakato sasa wa uendeshaji wa pamoja utakapoanza, vinginevyo bado hana haki ya kumiliki hizo hisa za simba.
 
Kama mlidhani moo ataweka billion 20.katika account ya Simba. Jueni mnajidanganya.na mmemnukuu vibaya.
Uwekezaji alioufanya sasa ndo huo huo.
 
Simba na yanga ni zaidi ya uzijuavyo mkuu
Mo ajiandae kufungasha hatutaki wawekezaji wahuni
Yaani we jamaa nashindwa kukuelewa sijui ni shabki wa Yanga unaitakia Simba mabaya au ni wale wanufaika wa mifumo mibovu. Sasa wewe uhuni gani umekuchosha,kama wewe ni mwanachama au shabiki wa timu fulani kitu gani unahitaji zaidi ya timu kufanya viziri.
 
Hadi leo huu utata sijaelewa.
Yaani documents za mali ya simba ziko mikononi mwa mtu mmoja. How?why?
How is this even possible?
Simkosoi huyu mzee but something isnt correct somewhere
 
Hata huko arsenal mtu wawekezaji hawakuowa timu kiujanja ujanja. Anagalia uwekezaji wa kujenga uwanja mpya, kuendeleza uwanja wa zamani etc . Mo anafanya Nini? Anataka apewe bure
nikiona mtu anaandika na pumba kama zako natamani ata nikutafune,,..sidhani hata kama simba yenyew unaijua na unajua iliyoyapitia hapo katkat ..simba imepitia kipindi kigumu sana hadi wachezaji wengne tulikua tunapewa kwa huruma za viongozi wa timu ndogo wenye mapenzi na simba,,..simba ilipitia kipindi kiongozi aje mazoezini wachezaji wapewe elf tano tano asubuhi waondoke wakanywe chai na nauli yakurudia jioni mazoezi,,..we unataka uturudishe huko ..hii step tuliyopiga kwa sisi tunaoijua simba yetu ni kubwa mnooo ..usituambie turudi kule tena..unanitia uchungu sana nikikumbuka kipindi kile manji anatutesa sana ..Mimi mwenyew mwaka 2008 nishatoa buku 10 langu mfkon mazoezini tunachangishana wachezaji wapate hela chai.acha kuongea ujinga kbsa soka la bongo hulijui wewe. ..kivyovyote vile moo inabid aheshimiwe na alindwe pale simba ..mengine ni yakujadiliana tu.
 
uzee una msumbua mzee kilomoni.
Moo aweke bil 20.
Wakati ligi hata wafadhili hainaaa.
Anachotoa kinatosha tena sanaa. Kikubwa usajili ufanyike wachezaji na benchi la ufundi wapate mishahara yao.
Kama timu ingekuwa na uwezo si ingejiendesha yenyewe?
au mnataka tuwe omba omba kama YANGA.
Hivi we mjinga unajua kiasi gani mo anachopata kwa logo ya mo energy kukaa pale kifuani kwenye jezi ya simba?
 
Wangefanya kama timu nyingine tu za ulaya mfano Chelsea Jina na miundombinu ibaki kuwa mali ya wanachama na bwana Mohamed apewe uwezo wa kuiendesha kama afanyavyo tajiri wa kirusi kuna wanaoamini klabu kubinafsishwa ndio usasa la hasha club kubwa duniani kama Real Madrid na Barcelona bado zipo katika mfumo wa Rais wa club na mambo yanasonga vizuri tu cha muhimu ni uwazi,uwajibikaji na mfumo sahihi
Manji aliomba kitu kama iko cha kuwa na timu ba logo,mali zingine za klabu wala akuzitaka na aliletewa figisu,ajabu huyu mo anataka hati za jengo kabisa,na kishalifanyia hesabu eti lina thamani ya bln 3!
 
kama tunaona moo Ana faidi na moo energy yake ya Simba.
Tutafute mdhamini mwingine...
Tumtoe moo.
Wewe unadhani kupata wafadhili ni kitu rahisi!?
Si wangepata tff. Kwanini vodacom walojiondoa kwenye jezi za timu za Tanzania.? ingekuwa inalipa si wangeendelea kudhamini?
Hivi we mjinga unajua kiasi gani mo anachopata kwa logo ya mo energy kukaa pale kifuani kwenye jezi ya simba?
 
Sasa kama jengo lina thamani ya billion 3.kwanini simba wasichukue hizo billion 3.
Ikajiendesha yenyewe?
WEWE unadhani kodi ya zile fremu ndo unaweza ukaendeshea timu kuanzia usajili mpaka mishahara ya wafanyakazi?
Simba ina vyanzo Gani vya mapato?
kuhusu hati za Simba zinatakiwa zikae ofisini sio kwa mtu binafsi. Mzee kilomoni ana cheo gani pale simba? Mpaka akae na hati za Simba? Na aliyemwambia kuwa simba inataka kuuzwa kwa moo ni nani?
Hivi unadhani hata tukiamua tuiuze simba kuna mtu atakae inunua hata kwa billion 2?. Hakuna vyanzo vya mapato. Hela yake itarudi vipiii?
Manji aliomba kitu kama iko cha kuwa na timu ba logo,mali zingine za klabu wala akuzitaka na aliletewa figisu,ajabu huyu mo anataka hati za jengo kabisa,na kishalifanyia hesabu eti lina thamani ya bln 3!
 
Sasa kama jengo lina thamani ya billion 3.kwanini simba wasichukue hizo billion 3.
Ikajiendesha yenyewe?
WEWE unadhani kodi ya zile fremu ndo unaweza ukaendeshea timu kuanzia usajili mpaka mishahara ya wafanyakazi?
Simba ina vyanzo Gani vya mapato?
kuhusu hati za Simba zinatakiwa zikae ofisini sio kwa mtu binafsi. Mzee kilomoni ana cheo gani pale simba? Mpaka akae na hati za Simba? Na aliyemwambia kuwa simba inataka kuuzwa kwa moo ni nani?
Hivi unadhani hata tukiamua tuiuze simba kuna mtu atakae inunua hata kwa billion 2?. Hakuna vyanzo vya mapato. Hela yake itarudi vipiii?
Mjinga yule ni mwekezaji,nembo ya simba ndio itakayomlipa,we mwenyewe ushamchangia mo kwa kununua bidhaa zake mara kibao tu
 
nikiona mtu anaandika na pumba kama zako natamani ata nikutafune,,..sidhani hata kama simba yenyew unaijua na unajua iliyoyapitia hapo katkat ..simba imepitia kipindi kigumu sana hadi wachezaji wengne tulikua tunapewa kwa huruma za viongozi wa timu ndogo wenye mapenzi na simba,,..simba ilipitia kipindi kiongozi aje mazoezini wachezaji wapewe elf tano tano asubuhi waondoke wakanywe chai na nauli yakurudia jioni mazoezi,,..we unataka uturudishe huko ..hii step tuliyopiga kwa sisi tunaoijua simba yetu ni kubwa mnooo ..usituambie turudi kule tena..unanitia uchungu sana nikikumbuka kipindi kile manji anatutesa sana ..Mimi mwenyew mwaka 2008 nishatoa buku 10 langu mfkon mazoezini tunachangishana wachezaji wapate hela chai.acha kuongea ujinga kbsa soka la bongo hulijui wewe. ..kivyovyote vile moo inabid aheshimiwe na alindwe pale simba ..mengine ni yakujadiliana tu.
Inawezekana kweli una machungu na unayoiita "Simba yetu" miaka karne. Maamuzi yaliyofanywa kwa njaa na kukata tamaa yan majuto mbeleni" na serikali ilisema hivyo hivyo kwenye mashamba ya mkonge subiri uone. Mo is cool but shroud, tricky businessman.
 
Povu la nini?!..........CEO wa Simba SC Magori alikiri pale Clouds kuwa MO hajatoa hizo fedha bali ana mpango wa kununua Hati fungani za serikali siku za mbeleni. Ndiposa watu makini kama Manara wakashtuka.
Hati fungani ni nini hasa,fafanua kidogo nipate darasa kidogo
 
Back
Top Bottom