Hamisi Kilomoni alindwe

MIMI HAMIS KILOMONI NAWAALIKA NDUGU WAANDISH WA HABARI PALE NYUMBANI KWANGU KWENYE OFISI YETU YA TAWI LA SIMBA BLOCK 41 KESHO JUMAPILI TAR 6-9-2020 SAA 4 ASUBUH

AGENDA MBILI NDIZO TUTAKAZO ZUNGUMZA ..KUHUSU HUYU ANAE JIITA MUWEKEZAJI WA SIMBA SPORTS CLUB BW MOHAMED DEWJI (MO)

SISI KAMA WAZEE WA SIMBA NA BAADHI YA WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI YA SIMBA TUNASIKITISHWA SANA NA KITENDO CHA MO NA MASWAHIBA ZAKE KUIFANYA SIMBA KAMA MALI YAO

KARIBUNI SANA MSIKOSE
AKHSANTENI

HAMIS KILOMONI
MDHAMINI SSC
DAR ES SALAAM
TANZANIA
5-9-2020
 
Kwa kweli Wanachana na Mashabiki wa Simba wakishindwa kumlinda mmiliki halali wa Timu yao.....!? Watathibitisha kweli Mbumbumbu...

Wamlinde Hamisi Kilomoni, watakuwa wamelinda hati yao na timu yao,

Wapenda haki ktk soka la Tanzania naamini watakusikia na kukuelewa kwa msg uliyoiweka hapa jukwaani, ila jukumu kubwa ni kwa Simba wenyewe..

Bi Hindu na Mzee Kilomoni peke yao hawawezi....wamejitahidi kupigania Club yao kwa kweli.

Nakubaliana na mtoa Post.
Ili alete nn klabun? Tumia akili. Pesa na football vs njaa na football
 
Back
Top Bottom