Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
-Kuwa karibu na wananchi kivipi?Yeye ni mwakilishi wa wananchi lakini inaonekana anawakilisha wavunja sheria za barabarani na wahalifu.Hapa anastahili kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja
-Pia hoja ya kuwa karibu na wananchi kutafuta ATM kwa kupanda Bodaboda mjini ni kutafuta cheap popularity na ku-expose fikra zilizochusha na kwa kuwa huyu ni msomi mwenye MBA anajua umuhimu wa huduma ya kibenki vijijini.Sasa kule Nzega ameshapigana kwa kiasi gani kuhakikisha huduma hiyo inawafikia wananchi vijijini?
-Nilidhani hiyo ndiyo inge-reflect ukaribu wake kwa wananchi kuliko jitihada hizi anazofanya mjini za kuvunja sheria za usalama barabarani na kuwadhalilisha wananchi waliomchagua kwa jaribio hili la kuonyesha yeye ni mwakilishi asiyezingatia sheria na anayerudisha nyuma harakati za kukabiliana na ajali za barabarani
ni mega complex ukitokea stadium kama unaelekea mnazi mmoja pale kwenye tawi jipya la nbc
Angevaa hizo protective angeonekana vipi kwamba ndio yeye .tumetoka kushuhudia picha ya Januari Makamba akiwa ndani ya Bajaji, leo sasa kuna kali ya mwaka Mbunge wa Nzega ame-post kwenye ukurasa wake wa FB picha akivinjari mitaa ya A-town kusaka ATM kwa kutumia usafiri wa Pikipiki, pamoja na kutaka kujionyesha wako karibu na maisha ya kila siku ya wananchi, nadhani Mbunge huyu amehatarisha maisha yake kwa kiasi kikubwa kwa kutokuvaa protective gears, hebu cheki mwenyewe hapa chini:
ICHA. MUDA HUO ULIKUWA NI MAJIRA KATI YA SAA KUMI NA MOJA NA NUSU HADI SAA KUMI NA MBILI JIONI
# Jibu ni kwamba alijiandaa kupigwa picha na mpiga picha ili aje aiweke twiter! Sasa alimpiga nani?... kama vile amejiandaa kupigwa picha! Ngoja niinote ID ya mleta mada, huenda ametumwa na Kigwangwalla kuja kuuza sifa za kijinga humu!
Acheni mambo yakiswahili mbona ni mambo ya kawaida kabisa kupanda bodaboda jamani mtaelimiks lini? Hawa viongozi ni watu kama sisi jamani mkue kiakili.
Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
And who took that photo?
And who took that photo?