Hamisa Mobetto - “Diamond aliniruhusu “

Hiyo statement hata mimi ilinishangaza sana. Ningekuwa karibu yake ningemzaba mabao ili aamke kwenye usingizi wa kiherehere na kujipendekeza. Hawa ndo wanaompa diamond bichwa ili azidi kuwadharirisha

Yan hamisa na alivyokua mzuri sijui kwa nn anamng’ang’ania domo Na ana uwezo wa kupata wanaume wenye mafanikio kumzid domo, kashadanga sana sasa hiv inabid atafute mwanaume wa kumuoa ni mama tayr, sasa yeye anajiringanisha na kina Tunda wakat soon ataitwa bibi
 
labda ndiyo maana kaamua kumganda Diamond ili amuoe au?!

Kuna watu wanajua kung’ang’ania wanaume jamani kama ruba!

Kudhalilika kote kule lakini anajitia ukauzu!

Halafu kina Mwijaku ndiyo wanampampu kumng’ang’ania Diamond kumbe wanampotosha mwenzao anabaki kudhalilika!
 
Akilinjema anadhalilishwa au anajidhalilisha?
 
She is cute , ana muonekano mzuri hamisa , hata sisi ukileta picha zetu za zaman na sisi hiv tunaweza kukimbiana, kadada ni kazur, ni kujielewa tu hajielewi bado
You can remove a person from a village but you can't remove the village in him/her? Discuss.
 
Raha ya mwanamke uhongwe bhanaa sio mwanamke kujifanya mjuajiiii... Kama fundi Chuma.

Kila kitu kujifanya mgumu kwako.

Mwanamke upewe Nyumba mama
Mwanamke upeweee mambo.

Sio kujifanya unazooo kumbe unakuwa msengererereeeee
warumi Hapa ndugu yangu limwanamke lakucomment hivi nisipolila tigo ntakosea sana .mwanamke kuwa na hela zako ndo la maana za mwanaume zijazie.unamwambia bby nataka iphone ya 1.9mil mi tayari nna 1.1m anakuheshimu vya bure ni vya babako tu
 
Ukila tigo ujue deni hiloo lazima utalilipa tuu kama sio wewee basi mtoto wakoo hata dadako ndo Siri ya huu utumoviee.

Ila baridi kama vipi mwanaume unataka mteremko na unapenda ving'ast basi nipangee kuto...ba ma Bar made na Maraye wa Kwa Mnyamanii
 
Tunavizia wenye matamaa na kudhani mahusiano ujasiliamali
Ukila tigo ujue deni hiloo lazima utalilipa tuu kama sio wewee basi mtoto wakoo hata dadako ndo Siri ya huu utumoviee.

Ila baridi kama vipi mwanaume unataka mteremko na unapenda ving'ast basi nipangee kuto...ba ma Bar made na Maraye wa Kwa Mnyamanii
 
labda ndiyo maana kaamua kumganda Diamond ili amuoe au?!

Kuna watu wanajua kung’ang’ania wanaume jamani kama ruba!

Kudhalilika kote kule lakini anajitia ukauzu!

Halafu kina Mwijaku ndiyo wanampampu kumng’ang’ania Diamond kumbe wanampotosha mwenzao anabaki kudhalilika!
warumi Hapa ndugu yangu limwanamke lakucomment hivi nisipolila tigo ntakosea sana .mwanamke kuwa na hela zako ndo la maana za mwanaume zijazie.unamwambia bby nataka iphone ya 1.9mil mi tayari nna 1.1m anakuheshimu vya bure ni vya babako tu
Ukila tigo ujue deni hiloo lazima utalilipa tuu kama sio wewee basi mtoto wakoo hata dadako ndo Siri ya huu utumoviee.

Ila baridi kama vipi mwanaume unataka mteremko na unapenda ving'ast basi nipangee kuto...ba ma Bar made na Maraye wa Kwa Mnyamanii
Tunavizia wenye matamaa na kudhani mahusiano ujasiliamali

Hivi kumbe kuna adhabu za kifarauni eee
The only kwa hiyo unaposema usipomkulatgo utakua umekosea sana kwani unapomkula ni adhabu kwake, kwako, au kwenu wote?

Kumbuka Kutoa Rushwa na kupokea Rushwa yote ni makosa!!! Acha kabisa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom