Hamisa Mobetto - “Diamond aliniruhusu “

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,571
2,000
Hii kauli huwa naitafakari sana, hivi Hamisa akili zake sijui zipo sawa kichwani yaani anapenda kumpa Diamond power kwenye maisha yake utadhani yeye Ndio Mungu wake.

Mtu hajawahi kuwa your official Boyfriend zaidi ya mchepuko, kila siku unakanwa, sasa kuna haja gani ya kumfanya awe Mungu mtu kwako.

Yaani kabisa bila aibu unaulizwa kama Diamond alijua kuwa una-shoot na Alikiba na wewe na akili zako za kushikiwa unajibu eti alikuruhusu.

Kama nani labda? Au ndio kujipendekeza upate child support? Hamisa mzuri ila anajiabishaga hana hata class. Kashamruhusu Diamond amtawale mwili hadi maisha
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,018
2,000
ingawa siwajui wahusika hata wewe mtoa mada..., ila inawezekana wewe umekasirika na vimekuudhi kuliko hao wahusika....

Hizi nguvu zingetumika constructively nadhani hata wewe ungeweza kutumia hayo maneno ukayapangia vina na kutoa hata single, au ukakusanya maneno na kuyaweka vizuri hata ukatunga kitabu cha kuwaburudisha ndugu zako....
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,571
2,000
Sa kama mwanaume kama Nyumba nzuri na Gari Kwanini asimuheshimu....?

Alafu pia mwanamkee ameumbwa kuishi chini ya mwanaume tangu Adamu na Hawa.

Hata ubinuke vipi sikio halizidi kichwa bidada

Maskin Ndio maana mnadanyuliwa na kuachwa , mnashoboka sana na magar na nyumba ambazo sio za kwenu mxieew , Kwan nyie hamuwez kutafuta vyenu Mxiee Ndio maana mnapasuliwa mashavu kuendeza shida tu

Mtu ajakuchumbia wala kukuvisha pEte shobo hizo vepee na kina lulu wasemeje sasa wenye wachumba zao official mxiew
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,571
2,000
ingawa siwajui wahusika hata wewe mtoa mada..., ila inawezekana wewe umekasirika na vimekuudhi kuliko hao wahusika....

Hizi nguvu zingetumika constructively nadhani hata wewe ungeweza kutumia hayo maneno ukayapangia vina na kutoa hata single, au ukakusanya maneno na kuyaweka vizuri hata ukatunga kitabu cha kuwaburudisha ndugu zako....

Ntatoaje Single wakat Mwenzangu naona ushatoa album kabisa , sio kwa essay hiyo

Sasa kama vitu huvijui unaingilia vya nini ? Una stress na maisha au ? Punguza shobo na pita hivi , hakuna aliyekuita humu , this is celeb forum , unataka tumuongelee Mama yako Mzazi humu au ? Acha shobo
 
Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
258
500
Maskin Ndio maana mnadanyuliwa na kuachwa , mnashoboka sana na magar na nyumba ambazo sio za kwenu mxieew , Kwan nyie hamuwez kutafuta vyenu Mxiee Ndio maana mnapasuliwa mashavu kuendeza shida tu

Mtu ajakuchumbia wala kukuvisha pEte shobo hizo vepee na kina lulu wasemeje sasa wenye wachumba zao official mxiew
Raha ya mwanamke uhongwe bhanaa sio mwanamke kujifanya mjuajiiii... Kama fundi Chuma.

Kila kitu kujifanya mgumu kwako.

Mwanamke upewe Nyumba mama
Mwanamke upeweee mambo.

Sio kujifanya unazooo kumbe unakuwa msengererereeeee
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
3,949
2,000
She is cute , ana muonekano mzuri hamisa , hata sisi ukileta picha zetu za zaman na sisi hiv tunaweza kukimbiana, kadada ni kazur, ni kujielewa tu hajielewi bado

Hivi binamu picha za mpoki za zamani hauna?
 
Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
6,772
2,000
Hii kauli huwa naitafakari sana, hivi Hamisa akili zake sijui zipo sawa kichwani yaani anapenda kumpa Diamond power kwenye maisha yake utadhani yeye Ndo Mungu wake.

Mtu hajawahi kuwa your official Boyfriend zaid ya mchepuko, kila siku unakanwa, sasa kuna haja gani ya kumfanya awe Mungu mtu kwako.

Yaani kabisa bila aibu unaulizwa kama Diamond alijua kuwa una-shoot na Alikiba na wewe na akili zako za kushikiwa unajibu eti alikuruhusu.

Kama nani labda? Au ndio kujipendekeza upate child support? Hamisa mzuri ila anajiabishaga hana hata class. Kashamruhusu Diamond amtawale mwili hadi maisha
warumi unaonesha una chuki Sana kwa huyo dada sijui kakukosea Nini Kwani kosa lake hapo Nini?
 
ashera

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
221
500
Hiyo statement hata mimi ilinishangaza sana. Ningekuwa karibu yake ningemzaba mabao ili aamke kwenye usingizi wa kiherehere na kujipendekeza. Hawa ndo wanaompa diamond bichwa ili azidi kuwadharirisha
 
Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
6,772
2,000
Hiyo statement hata mimi ilinishangaza sana. Ningekuwa karibu yake ningemzaba mabao ili aamke kwenye usingizi wa kiherehere na kujipendekeza. Hawa ndo wanaompa diamond bichwa ili azidi kuwadharirisha
Wanadhalilishwa au wanajidhalilisha?
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,442
2,000
warumi, historia ya huyu Hamisa ikoje hususan eneo alikozaliwa, alikokulia, na shule (msingi na sekondari) alikosomea?
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,571
2,000
Raha ya mwanamke uhongwe bhanaa sio mwanamke kujifanya mjuajiiii... Kama fundi Chuma.

Kila kitu kujifanya mgumu kwako.

Mwanamke upewe Nyumba mama
Mwanamke upeweee mambo.

Sio kujifanya unazooo kumbe unakuwa msengererereeeee

Sasa na kuroga kote anaishia kuhongwa mimba , na kina k-Lynn wasemeje? Raha ya kuhongwa uwe na akili timamu
 
Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
258
500
Sasa na kuroga kote anaishia kuhongwa mimba , na kina k-Lynn wasemeje? Raha ya kuhongwa uwe na akili timamu
Mi mwenyeweee na kibubu Changu nataka nikivunje Christmas hapa nilipo na haha natafuta wa kumuhonga.
Dah hata wewe tuu nakuhonga naenda zangu kulala nazichanga tenaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom