Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

Mondela

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2021
Posts
2,567
Reaction score
3,780
Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne

20211129_203349.jpg
 
We nae kumbe fala sana kuna nyimbo ya marehem Mangwair inaitwa bado hujawajuwa mademu.Bro hukuona hata ile movie inaitwa king kong demu anampenda yule mdudu hadi akatoroka kumfata. Mkuu mji huu una wenyew wa bush rudi shamba.
 
Umbile la mtu lisimnyime starehe jamaniiii
Mbona huyu Rick hawafikii wa kwetu humu mitaani!? Au shida ni mobetto?..... msimnyanyapae shemela buana😂😂😂😂😂😂

Ulishamuona pitamsechu au bongekatagira wakiwa vifua wazi!?
 
Umbile la mtu lisimnyime starehe jamaniiii
Mbona huyu Rick hawafikii wa kwetu humu mitaani!? Au shida ni mobetto?..... msimnyanyapae shemela buana

Ulishamuona pitamsechu au bongekatagira wakiwa vifua wazi!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom