Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

Kuna kitu nimewaza sababu je na wewe umewaza kama mimi
Sababu ni nini Witty? Mi hadi sasa sijajua kwakweli....nilitegemea makasiriko yangekua kwetu team zari 😁, team mama dangote na wanawake woteee tulioumbwa na wivu mixa visokolokwinyo.

Kwa hilo la upande wa wanaume sijajua hadi sasa na bado inanishangaza
 
Kama mnavyo iona picha ya Rosiee hivi Mobeto amewezaje kumuweka kifuani huyo mwamba? Mobeto utakuja kufa ww yaani unabeba magunia manne ya mahindi? Wape mabinti wenzako mbinu za kubeba magunia manne

Mwanaume tattoo kama Chatu. Huyu hanisogelei. Kwanza Sitateleza. Kwa Binti yule Bora aendelee na Break Price. This is Dying for Fame.
 
Hamna jipya kwa wanawake, hiyo mizigo wanaibeba kawaida tu hata hapa bongo.
Tofauti ni wa mobeto ni star mkubwa duniani.
 
Harafu watu WA hivi kubadilisha maji kwenye water dispenser ana kwambia njoo unisaidie wakati hili boti kajitwisha mgongoni mwenyewe bila msaada WA MTU yeyote
Kubadilisha maji kwenye dispenser anabeba mkononi huyu hambebi mkononi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom