Kunufaika sio lazima uwe mmiliki wa kampuni husika,ziko namna nyingi za kunufaika na jambo.Tukirudi kwenye swala lenyewe,nakubaliana na wewe kwamba tuna tatizo la kutopata taarifa sahihi.Hili ndio tatizo la vijitu viswahili. Umesha program akili yako ili usikie unayotaka kusikia tu hata kama ni uongo.
GFI ni kampuni ya Israel, na iko nchi kibao. Hata sasa hivi bado wanafanya kazi Zanzibar. Mimi nahusikaje ?
Kwanza ukitaka kujua huu ni upumbavu, GFI walikuwa wanapewa tender na EWURA lakini cha kushangaza tangu huu upuuzi uanze kutajwa, EWURA hawazungumzwi kabisa na wao wako kimya utafikiri hawapo.
Nchi hii bana