sitta alikuwa na tamaa ya urais na alijua LOWASSA kuendelea kuwa waziri mkuu ni kikwazo kwakeKweli mamvi kiboko sasa kama hahusiki nini kilimfanya ajiudhulu ndio cinema imeanza mpka ifikapo mwez wa 7 wa2 watakua I.C.U
Hamis ana laana ya kumtelekeza baba yake mpaka umauti! Tumsamehe bure!
Ikifika October Nusu ya wanachama wa CCM mtakuwa mmeshakuwa vichaaHamis ana laana ya kumtelekeza baba yake mpaka umauti! Tumsamehe bure!
Jamani hivi CCM mwaka huu mnataka kutupeleka wapi na njaa zenu za urais?
Kidumu chama cha mapinduzi!!ataisoma LOWASSA akiwa rais.......yaan ccm tunachukiana kuliko sjui kwanini?
adui ya ccm ni wana ccm wenyewe na sio UKAWA
Na wewe! Fedha za mafisadi zinatembea UVCCM kote. Kinachoongelewa hapa ni mustakabali wa taifa letu si mtu na baba yake
Usishangae hiyo ni tabia ya kawaida kwa waliokosa uadilifuataisoma LOWASSA akiwa rais.......yaan ccm tunachukiana kuliko sjui kwanini?
adui ya ccm ni wana ccm wenyewe na sio UKAWA
Hamisi needs to chose his battles carefully...
He doesnt know what is happening, his naivety is (once again) getting the better of him... hiki kipindi cha mpito, atembee kama huko juu ya barafu, atunze maneno yake, yatamuhitaji very soon hata kama yeye hayahitajiMasikini HK!, kumbe hajui hata "what is the name of the game?!.
P.