Hamida Kaniacha. Vijana Jijengeni Kimaisha Aisee

DocJayGroup

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2020
Posts
1,654
Reaction score
3,353
Ile video ya 'Hamida Kaniacha' inahuzunisha. Sijui kama hio video ni genuine (ina ukweli wote) au sio, lakini jambo la ukweli vijana wanachanganyikiwa sana wapenzi wao warembo wakiwaacha.

Vijana wenzangu niwashauri msijikite sana katika mapenzi. Pambaneni kujinasua kimaisha na kimaendeleo. Warembo wa siku hizi wanatafuta maslahi na ukiwa haumpi anakuacha aende kwa atakayempa starehe, pesa nk. Kama umejikita sana kwake, ndio mambo ya Hamida kaniacha hayo yatakuhusu. Unachangayikiwa na unaweza tumia hata madawa ya ajabu nk. Warembo wapo tu. Ukishatoka kimaisha, hawatakuzingua tena.

Kujikita sana kimapenzi ni pamoja na
1. Kutumia hela yako sana kumpatia demu starehe ambaye sio mke wako. Hiyo hela iwekeze ikuletee maendeleo yako wewe binafsi.

2. Kununua vitu vya gharama kwa demu wako kama smartphone nk. Kama si mke wako, apambane kutafuta smartphone yake.

3. Kusomesha demu ambaye sio mke wako.

4. Kuingia gharama kubwa ili demu akupende kama kukodi nyumba ya gharama, kununua nguo za gharama na zisizo za lazima. Hio hela iwekeze ujengee nyumba yako au uanzishe biashara.
 
Kwa hiyo sie maskini tusi date au.
Ndo kusema siku ukifilisika tuchukue mkeo ama.
Date kwa hekima ndugu. Usijikite sana roho yako huko kwa demu. Kama demu sio mke wako yani weka mguu mmoja ndani, mwingine nje. Sio kuweka miguu yote na ubongo wote na roho yote kwake. Itakuhusu.
 
Kwa Undani Soma Kitabu Cha Ujsusi wa Kidola na Uchumi Yericko Nyerere nyerere kalizungumzia hilo.

TISS wanafanikiwa sana Kwenye "SPINNING" Kwenye mitandao kote ni HAMIDA wanasahau "Barua ya UN" aliyoandikiwa ANKALI,Wamesahau DILI ALilopiga KENGE Lugola na ANDENGENYE.
 
Ukiona umeweza wewe sio wote wanaweza..hakuna mwenye akili katika mahusiano labda uwe na roho ya kununua MALAY....
 
Naona kila jambo ni fursa. Mtu akipandwa na kichaa akavaa suti kali halafu akaenda kujisaidia pale posta katikati tayari hao ni tiss kuna kitu wanafunika. Wakati mwingine ni coincedence tu.
 
Ukiona umeweza wewe sio wote wanaweza..hakuna mwenye akili katika mahusiano labda uwe na roho ya kununua MALAY....
Ukisema hautaweza, kweli hautaweza. Nasubiria video yako na wewe utakavyopagawa ukiachwa.
 
Wanaume tunakufa na tai shingoni...ila ukweli ni kwamba haya mambo yapo sana katika society yetu...ni aibu tu inatusetiri.
 
Ile video ya 'Hamida Kaniacha' inahuzunisha. Sijui kama hio video ni genuine (ina ukweli wote) au sio, lakini jambo la ukweli vijana wanachanganyikiwa sana wapenzi wao warembo wakiwaacha.

Vijana wenzangu niwashauri msijikite sana katika mapenzi. Pambaneni kujinasua kimaisha na kimaendeleo. Warembo wa siku hizi wanatafuta maslahi na ukiwa haumpi anakuacha aende kwa atakayempa starehe, pesa nk. Kama umejikita sana kwake, ndio mambo ya Hamida kaniacha hayo yatakuhusu. Unachangayikiwa na unaweza tumia hata madawa ya ajabu nk. Warembo wapo tu. Ukishatoka kimaisha, hawatakuzingua tena.

Kujikita sana kimapenzi ni pamoja na
1. Kutumia hela yako sana kumpatia demu starehe ambaye sio mke wako. Hiyo hela iwekeze ikuletee maendeleo yako wewe binafsi.

2. Kununua vitu vya gharama kwa demu wako kama smartphone nk. Kama si mke wako, apambane kutafuta smartphone yake.

3. Kusomesha demu ambaye sio mke wako.

4. Kuingia gharama kubwa ili demu akupende kama kukodi nyumba ya gharama, kununua nguo za gharama na zisizo za lazima. Hio hela iwekeze ujengee nyumba yako au uanzishe biashara.

5.

6.

7.

Weekend njema everyone.
iko wapi hiyo video mkuu iweke
 
Kwa Undani Soma Kitabu Cha Ujsusi wa Kidola na Uchumi Yericko Nyerere nyerere kalizungumzia hilo.

TISS wanafanikiwa sana Kwenye "SPINNING" Kwenye mitandao kote ni HAMIDA wanasahau "Barua ya UN" aliyoandikiwa ANKALI,Wamesahau DILI ALilopiga KENGE Lugola na ANDENGENYE.
...Sio kwamba wamelisahau. Ndio juhudi zao hizo za kulififisha na Watanzania tulivyo Mambumbu tunashabikia hilo...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom