Hamida Kaniacha. Vijana Jijengeni Kimaisha Aisee

Huyu ni mwanaume wa wapi wadau mbona mpumbavy
Mimi swali langu ni kwamba hio hali aliyonayo inasababishwa na nini? Kwanza kaachwa, pili kachanganyikiwa, tatu mwili wake ni kama kajawa na mapepo yani hayuko normal kimwili. Duh! Kazi iko.
 
Ajachanganyikiwa na wala sio mapepo inaonekana kalewa tu!ila hili jambo litakua huko dar sisi wa mikoani hasa huku kaskazini haatuwezi kufanya huo upuuzi
 
Asante sana. Sawa kabisa. Kumbe pombe. Au ukute pombe akachanganya na unga au bangi juu yake. Kweli mambo ya Dar hayo.
 
Duh! Hawana kazi za kufanya..labda wajikite ktk vibarua kama kukata majani ya Ng'ombe, kubeba mizigo..hata kuokota makopo barabarani..nk. Sawa mzee mdumavu wa Fikra!!![emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashamba Tanzania tunayo. Waende kijijini wakajifunze kilimo na wachape kazi. Watatoboa. Kuna jamaa alianza sifuri na maparachichi, sasa hivi anauza mazao ya milioni 300 kila mwaka. Niliona video yake YouTube. Inawezekana wakiamua kuachana na starehe. Shida wanataka starehe za haraka haraka za mademu nk. wakati wangejijenga kwanza, starehe zitakuja tu.
 
Sikubaliani na wewe..nishasema sana nitakuwa rubani...ila nimekuwa bwana shamba.
Sio kusema tu. Sema, panga, tenda, amini, pambana, pambana, na pambana hadi utoboe. Plan lazima iwe nzuri na kama haifanikiwi unaibadilisha. Ila lazima ufanye utafiti kwanza kwamba kuwa rubani inabidi ufanye nini? Bwana shamba nayo ni poa sana.

Pambana ufanikiwe kwenye kilimo. Utanunua hata ndege kupitia kilimo. Ni ngumu hilo lengo, lakini linawezekana.
 
watu wa dar waajabu sana mfano naanzaje kupiga makelele kwa manzi!hii ndio shida ya kula utumbo miguu vichwa vya kuku matahira.inasemekana huyo jamaa pacha wa MBAO ZA MAWE
 
Ile video ya 'Hamida Kaniacha' inahuzunisha. Sijui kama hio video ni genuine (ina ukweli wote) au sio, lakini jambo la ukweli vijana wanachanganyikiwa sana wapenzi wao warembo wakiwaacha.

Vijana wenzangu niwashauri msijikite sana katika mapenzi. Pambaneni kujinasua kimaisha na kimaendeleo. Warembo wa siku hizi wanatafuta maslahi na ukiwa haumpi anakuacha aende kwa atakayempa starehe, pesa nk. Kama umejikita sana kwake, ndio mambo ya Hamida kaniacha hayo yatakuhusu. Unachangayikiwa na unaweza tumia hata madawa ya ajabu nk. Warembo wapo tu. Ukishatoka kimaisha, hawatakuzingua tena.

Kujikita sana kimapenzi ni pamoja na
1. Kutumia hela yako sana kumpatia demu starehe ambaye sio mke wako. Hiyo hela iwekeze ikuletee maendeleo yako wewe binafsi.

2. Kununua vitu vya gharama kwa demu wako kama smartphone nk. Kama si mke wako, apambane kutafuta smartphone yake.

3. Kusomesha demu ambaye sio mke wako.

4. Kuingia gharama kubwa ili demu akupende kama kukodi nyumba ya gharama, kununua nguo za gharama na zisizo za lazima. Hio hela iwekeze ujengee nyumba yako au uanzishe biashara.
Sasa, kama hayo yote anaruhusiwa kumfanyia mkewe tu, hao warembo atawafaidi lini?

Wakati hana, atafute ili awafaidi

Akishakuwa nazo, azitumie kwa mkewe tu.

Mkuu, acha kupangia watu maisha. Una confuse.
 
Kwa Undani Soma Kitabu Cha Ujsusi wa Kidola na Uchumi Yericko Nyerere nyerere kalizungumzia hilo.

TISS wanafanikiwa sana Kwenye "SPINNING" Kwenye mitandao kote ni HAMIDA wanasahau "Barua ya UN" aliyoandikiwa ANKALI,Wamesahau DILI ALilopiga KENGE Lugola na ANDENGENYE.
SPINNING ni nini mkuu?
 
Hapa ndipo napoumia roho na tanzania yangu,yani HAMIDA amefanya vyote vya muhimu tusiwaze ila ni upuuzi wake yeye.
 
Mbona nimesikiliza jana kipnd cha mina ally amplifire,alikua anamhoji mjomba wa huyo kijana akawa anasema yeye ni mganga wa kienyeji anauwezo kutengeneza majini na ndyo alikua amemtengeneza huyo jini, hamida hakua msichana wa kawaida bali ni jini lilimwingilia huyo kijana,na lilimwingilia kijana kwa kua alikua anamdhihaki mjomba wake pindi linapokua lipo ndani ya mjomba wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashamba Tanzania tunayo. Waende kijijini wakajifunze kilimo na wachape kazi. Watatoboa. Kuna jamaa alianza sifuri na maparachichi, sasa hivi anauza mazao ya milioni 300 kila mwaka. Niliona video yake YouTube. Inawezekana wakiamua kuachana na starehe. Shida wanataka starehe za haraka haraka za mademu nk. wakati wangejijenga kwanza, starehe zitakuja tu.
Ukweli kabisa
 
Sio kusema tu. Sema, panga, tenda, amini, pambana, pambana, na pambana hadi utoboe. Plan lazima iwe nzuri na kama haifanikiwi unaibadilisha. Ila lazima ufanye utafiti kwanza kwamba kuwa rubani inabidi ufanye nini? Bwana shamba nayo ni poa sana.

Pambana ufanikiwe kwenye kilimo. Utanunua hata ndege kupitia kilimo. Ni ngumu hilo lengo, lakini linawezekana.
We nifariji tu ukweli ni nao ndugu.
 
Ile video ya 'Hamida Kaniacha' inahuzunisha. Sijui kama hio video ni genuine (ina ukweli wote) au sio, lakini jambo la ukweli vijana wanachanganyikiwa sana wapenzi wao warembo wakiwaacha.

Vijana wenzangu niwashauri msijikite sana katika mapenzi. Pambaneni kujinasua kimaisha na kimaendeleo. Warembo wa siku hizi wanatafuta maslahi na ukiwa haumpi anakuacha aende kwa atakayempa starehe, pesa nk. Kama umejikita sana kwake, ndio mambo ya Hamida kaniacha hayo yatakuhusu. Unachangayikiwa na unaweza tumia hata madawa ya ajabu nk. Warembo wapo tu. Ukishatoka kimaisha, hawatakuzingua tena.

Kujikita sana kimapenzi ni pamoja na
1. Kutumia hela yako sana kumpatia demu starehe ambaye sio mke wako. Hiyo hela iwekeze ikuletee maendeleo yako wewe binafsi.

2. Kununua vitu vya gharama kwa demu wako kama smartphone nk. Kama si mke wako, apambane kutafuta smartphone yake.

3. Kusomesha demu ambaye sio mke wako.

4. Kuingia gharama kubwa ili demu akupende kama kukodi nyumba ya gharama, kununua nguo za gharama na zisizo za lazima. Hio hela iwekeze ujengee nyumba yako au uanzishe biashara.
Mimi huwa naangalia nikikuta ana heshima namsaidia tu 1% ya nilicho nacho. Hapo ni vibaya? Mfano una milioni 1, ukimpatia elfu 10 ni vibaya? Au una milioni 20, kumnunulia smart phone ya techno ya elfu 50 ni vibaya? Nafikiri shida ipo pale mtu anapoamua kuwekeza chote alicho nacho kwa huyo demu. Mfano unapata elfu 20, kwa siku unampatia huyo demu elfu 15. Hapo ndipo wanaume wanapokwama.
 
Falsafa Ya/za Ustoa
Stoicism

Siyo lazima uzifate katika maisha Yako ya kila Siku Ila kwenye mapenzi Ishi kistoa Hutojuta
Someni Falsafa Ustoa vijana wenzangu
  • Nonattachment: Things come and go, don’t get too attached to what you like.

  • Be aware that everything you hold dearly can be taken away without prior notice.
  • What’s your favorite object you “possess?” Remember, it could be gone by tomorrow.
  • Next time you kiss your loved ones goodbye, imagine it’s the last time.
 
Back
Top Bottom