HAMAS watoa onyo kwa Wapalestina kuhusu ulinzi wa misaada ya chakula

Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu.....

Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid convoys amid the spiraling humanitarian crisis in Gaza.

Those who do will be treated as collaborators and be handled with an iron fist, the Hamas Al-Majd security website says, quoting a security official in Palestinian terror forces.

The warning comes in response to reports that Israel is considering arming some Palestinian individuals or clans in Gaza to provide security protection for aid convoys into the enclave as part of wider planning for humanitarian supplies after the fighting ends.

“The occupation’s attempt to communicate with the leaders and clans of some families to operate within the Gaza Strip is considered direct collaboration with the occupation and is a betrayal of the nation that we will not tolerate,” the Hamas-linked website says, quoting the official.

“The occupation’s (Israel) efforts to establish bodies to manage Gaza are a ‘failed conspiracy’ that will not materialize.”
Hamas umekuwa mfupa mugumu kwa IDF, Kama ilivyokuwa M23 kwa wala Mabungo(wild fruits) wa KDF
 
Duh! Hawa majamaa ni pasua kichwa aisee. Yan chakula ni cha msaada na walengwa wa msaada huo ni wao hao Wapalestina. Myahudi anataka wawajibike wao wenyewe kukilinda chakula chao halafu eti HAMAS wanaolialia kwamba Wapalestina wanaonewa inatoa katazo kali kwa Wapalestina au familia zao wasijihusishe na kukilinda chakula hicho. Wanataka nini sasa?
Inaonekana dawa haijawaingia vizuri au dozi imekuwa chini ya kiwango. Inafaa IDF watoe dozi kali zaidi.
Magaidi hayanaga akili kabsa...wewe fatilia tu michango ya magaidi ya humu jamii forum. Yaaaani jitu liko Gairo halafu linateseka na vita ya Gaza
 
Back
Top Bottom