Hamas imejibu mpango Trump kumaliza vita Gaza, na kukubaliana sehemu kadhaa ikisema baadhi ya vipengele vinahitaji mazungumzo zaidi.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,015
Reaction score
43,157
Wanaukumbi.

Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani.
Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa Israel inayowashikilia, lakini ikiomba kujadiliana masuala mengine ya mpango huo wenye vipengele 20.
===============
Hamas has submitted its response to United States President Donald Trump’s Gaza ceasefire deal, agreeing to free all the Israeli captives it holds, but asking to negotiate other aspects of the 20-point plan.

Trump – who had given the Palestinian group a deadline of Sunday to respond positively to the deal – has reacted by demanding Israel immediately stop bombing Gaza.
Source: Al Jazeera Is an end to Israel’s war on Gaza finally in sight?
UP DATE…….

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1974428588175757597?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Israeli political level ordered the military level to halt military aggression in Gaza..

However, heavy and light fire continues.

An hour ago, an Israeli bombing killed 7 people in their home in Al Daraj neighbourhood.

Now, there’s Israeli tank and quadcopter fire while I am writing this post.
 
Wanaukumbi.

Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani.
Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa Israel inayowashikilia, lakini ikiomba kujadiliana masuala mengine ya mpango huo wenye vipengele 20.
===============
Hamas has submitted its response to United States President Donald Trump’s Gaza ceasefire deal, agreeing to free all the Israeli captives it holds, but asking to negotiate other aspects of the 20-point plan.

Trump – who had given the Palestinian group a deadline of Sunday to respond positively to the deal – has reacted by demanding Israel immediately stop bombing Gaza.
Source: Al Jazeera Is an end to Israel’s war on Gaza finally in sight?
Finally Hamas wamenyoosha mikono juu mwendo wa mateka

Moja ya kipengele kigumu kwao ni kuweka siraha chini na kujitoa kwenye uongozi wowote apo Gaza

Huu mtego utawashinda tu Hamas na Israel itarudi kuitwanga Gaza kama inavyo fanya Kwa chama cha Mungu ( Hezbollah) kusini mwa Lebanon

Vipengele vyote kwenye ilo deal vina i favour Israel mateka wote watarudishwa ndani ya siku 2 Tu kinacho baki ni Hamas wakatae kuweka siraha chini Israel ipate kisingizio kingine cha kurudi tena Gaza
 
Wewe hujui lolote zaidi ya ushabiki mandanzi weka hivyo vipengere.

✅"Tuko tayari kuingia katika mazungumzo ya moja kwa moja mara moja ili kupanga mabadilishano ya wafungwa na masharti ya ardhini kwa ajili yake."
✅ "Jambo hili [mabadilishano ya wafungwa] linahitaji kuingia katika mazungumzo ya moja kwa moja kwa ajili ya mipango yake... tunaamini kwamba baada ya kuingia katika maelezo, kutakuwa na haja ya muda zaidi ya [saa 72]."
- "Hatukubali kwamba masuala ya Gaza, kama sehemu ya Palestina, yasimamiwe na chama chochote kisichokuwa Palestina."
✅ "Kuingia kwa majeshi ya kigeni au utawala wa kigeni katika Ukanda wa Gaza ni suala ambalo halikubaliki kwa Wapalestina."
✅"Tunasasisha idhini yetu kwa utawala wa Ukanda wa Gaza kukabidhiwa kwa kundi la wanateknolojia wa Palestina."
✅"Masuala yajayo yanayohusiana na taifa la Palestina lazima yajibiwe ndani ya mfumo mpana wa kitaifa ... Hamas haihodhi haki ya kuyajibu peke yake."
✅ "Hatukubali chama chochote isipokuwa Wapalestina wanaosimamia masuala ya Gaza."
✅"Kuna ukweli wa ardhini kuhusu mateka walio hai na miili ambayo lazima izingatiwe."
✅"Hatukubali utawala wa kigeni wa Ukanda wa Gaza, na chombo huru cha kitaifa lazima kiundwe kwa kazi hii. Kuna makubaliano ya kitaifa ya Palestina kwa Gaza kusimamiwa na chombo cha Palestina."
✅ Kuna makubaliano ya kitaifa ya Palestina kwamba chombo cha kitaifa cha Palestina, kilichounganishwa na Mamlaka ya Palestina, kitasimamia Ukanda wa Gaza."
✅"Juhudi za kuwaondoa Hamas katika mchakato wa kisiasa wa Palestina hazitafanikiwa."
 
Sawa ww mjuaji (much know)na huna ushabiki

Wait and see
 
Wanaukumbi.

Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani.
Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa Israel inayowashikilia, lakini ikiomba kujadiliana masuala mengine ya mpango huo wenye vipengele 20.
===============
Hamas has submitted its response to United States President Donald Trump’s Gaza ceasefire deal, agreeing to free all the Israeli captives it holds, but asking to negotiate other aspects of the 20-point plan.

Trump – who had given the Palestinian group a deadline of Sunday to respond positively to the deal – has reacted by demanding Israel immediately stop bombing Gaza.
Source: Al Jazeera Is an end to Israel’s war on Gaza finally in sight?
UP DATE…….

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1974428588175757597?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hawa viongozi wa HAMAS wanakuwaga wapi?
 
Back
Top Bottom