HAMADI ni mtaji tosha kwa CHADEMA

HAMADI ni mtaji tosha kwa CHADEMA

Ni lazima CDM wawe makini sana,kuna kina shibuda wengine wanaweza kuamia CDM!
 
mi nadhani anayosema HR dhidi ya maalimu seif yana ukweli fulani..hivi dr slaa angekua rais angendelea kuwa katibu mkuu wa cdm na je wanachadema wangeeafiki hilo...
 
hamadi ana mapungufu yake sikatai ila kinachoweza kusababisha migogoro ndani ya chama zaidi ni ukosefu wa demokrasia na udikteta wa viongozi. mbona pro safari tumempokea vizuri.
 
ikiwa tetesi zinazoendelea za cuf kumvua gamba mbunge wake wa jimbo la wawi zitakuwa kweli, bila shaka CDM kitakua na nafasi adhimu kujijenga visiwani iwapo watamshawishi mbunge huyo kujiunga na chama hicho.HII ni kwa sababu Cdm haina kamanda wa uhakika ambaye ana uzoevu mkubwa wa siaza za zenji...pia Cdm kinaweza kumpendekeza awe mgombea mwenza wa dr slaa 2015 kuliko kumpendekeza mtu ambaye hana historia inayofahamika kama ilivyokua 2010 ... hii itazidi kuongeza kura za uraisi kwa Cdm..

Usijidanganye chama nikimoja tu Zenj hio ccm maji ya shingo huko Zenj kama sikutumia Jesh la Taifa JWT kumiminwa kila uchaguzi ufikapo basi hata kura moja ya Wazanzibar Wazanzibar wenyewe wasinge pata.

Zenj hakuna siasa kuna unalendo wakujitowa katika Jindamizi la Muungano fake, Chadema wanapaswa kujita na kupigania Utanganyika uliouliwa na kuja Jindamizi la ufisadi Tanzania from no where.
 
Mwacheni Hamad afanye maamuzi mwenyewe hata akiona bora atoke kwenye ulingo wa siasa nao ni uamuzi mzuri kabisa. Huyu jamaa alivunja kwa nguvu zake zote umoja wa upinzani bungeni. Japo ni muhimu lkn si lazima aende cdm.
 
Hamadi ni Shibuda mwingine tu, na CHADEMA wakifanya kosa moja mara ya pili nitawashangaa sana.
 
shibuda ana nini nanyi wandugu..msitake kuniambia Cdm ni chama kichanga ambacho hakiwezi kuvumilia mawazo mbadala...shibuda ni mtoto mtukutu ndani ya nyumba..ndo siasa. kama shibuda angevunja katiba ya cdm si angesha wajibishwa mbona arusha iliwezekana
 
Kwa hiyo we unaona zile sarakasi za Shibuda ndani ya CHADEMA ni sawa tu? Kama kuna nafasi ya kuzuia another Shibuda-like acquisition lakini udenda unawatoka kwa siasa za tamaa ya kuchota kura na following Zanzibar kwa mgongo wa mtu badala ya policies mtamchukua? Hata kama mtu mwenyewe mtambo kama Hamad ambaye ni timebomb linalosubiri kulipuka wakati wowote?

Chama chochote kinachofanya mtu, badala ya sera, kuwa ndiyo "mtaji" wake, kimefilisika.
 
ni tatizo kwa njia yoyote kuwa na mkakati wa kungojea ndoa za wenzio zivunjike kwa talaka ndipo upate mke au mume.Mtalikiwa akae mitaani aone maisha ya talaka yalivyo marefu halafu aamue upya.La msingi nyote mko kwenye matarajio HR hajafukuzwa CUF so hatuuhitaji mkakati,tena mwenyewe alisema wakimfukuza ataanzisha chama chake
 
mambo ya zanzibar waachiwe wazenji wenyewe, cdm ikomae na ukombozi wa tanganyika yetu, achaneni na hamadi
Umesema kweli mkuu, kwa watanganyika muungano ulitunyang'anya utaifa wetu mchana kweupee! Tukabakia na Tanzania inayotuzuia kujiamlia mambo yetu wenyewe, tunalazimishwa kuamliwa mambo yetu na wazenji. Ni sahihi kabisa kwamba CHADEMA ikomaea kutukomboa watanganyika, huyu mzenji Hamadi ccm inayokufa.
 
mambo ya zanzibar waachiwe wazenji wenyewe, cdm ikomae na ukombozi wa tanganyika yetu, achaneni na hamadi
Umesema kweli mkuu, kwa watanganyika muungano ulitunyang'anya utaifa wetu mchana kweupee! Tukabakia na Tanzania inayotuzuia kujiamlia mambo yetu wenyewe, tunalazimishwa kuamliwa mambo yetu na wazenji. Ni sahihi kabisa kwamba CHADEMA ikomaea kutukomboa watanganyika, huyu mzenji Hamadi aende ccm inayokufa.
 
Cdm kinaweza kumpendekeza awe mgombea mwenza wa dr slaa 2015 kuliko kumpendekeza mtu ambaye hana historia inayofahamika kama ilivyokua 2010 ... hii itazidi kuongeza kura za uraisi kwa Cdm..

HAMAD anachotamani ni ukatibu mkuu wa chama sasa akienda CDM si itabidi Slaa ampishe?
 
ikiwa tetesi zinazoendelea za cuf kumvua gamba mbunge wake wa jimbo la wawi zitakuwa kweli, bila shaka CDM kitakua na nafasi adhimu kujijenga visiwani iwapo watamshawishi mbunge huyo kujiunga na chama hicho.HII ni kwa sababu Cdm haina kamanda wa uhakika ambaye ana uzoevu mkubwa wa siaza za zenji...pia Cdm kinaweza kumpendekeza awe mgombea mwenza wa dr slaa 2015 kuliko kumpendekeza mtu ambaye hana historia inayofahamika kama ilivyokua 2010 ... hii itazidi kuongeza kura za uraisi kwa Cdm..

Kule WAWI wanampenda yeye kama HAMADI au wamemchagua kuonyesha kukubaliana na sera za CUF?

hamad ni kirusi
 
ikiwa tetesi zinazoendelea za cuf kumvua gamba mbunge wake wa jimbo la wawi zitakuwa kweli, bila shaka CDM kitakua na nafasi adhimu kujijenga visiwani iwapo watamshawishi mbunge huyo kujiunga na chama hicho.HII ni kwa sababu Cdm haina kamanda wa uhakika ambaye ana uzoevu mkubwa wa siaza za zenji...pia Cdm kinaweza kumpendekeza awe
mgombea mwenza wa dr slaa 2015 kuliko kumpendekeza mtu ambaye hana historia inayofahamika kama ilivyokua 2010 ... hii itazidi kuongeza kura za uraisi kwa Cdm..

Kweliiiiiiiiiii..... good logic, nice thinking, possible match, mziki utakuwa wa Barca, highlight it ionekane vizuri, aiseeee.....!!!
 
ikiwa tetesi zinazoendelea za cuf kumvua gamba mbunge wake wa jimbo la wawi zitakuwa kweli, bila shaka CDM kitakua na nafasi adhimu kujijenga visiwani iwapo watamshawishi mbunge huyo kujiunga na chama hicho.HII ni kwa sababu Cdm haina kamanda wa uhakika ambaye ana uzoevu mkubwa wa siaza za zenji...pia Cdm kinaweza kumpendekeza awe mgombea mwenza wa dr slaa 2015 kuliko kumpendekeza mtu ambaye hana historia inayofahamika kama ilivyokua 2010 ... hii itazidi kuongeza kura za uraisi kwa Cdm..
Mbona watu walioshindikana kwenye vyama vyao ndio mnataka wajiunge na chadema? e.g Kafulila, Hamad etc
 
Back
Top Bottom