Mnaokubaliana nami kuwa aman katika nchi yoyote ile hutoweka pale inapochezewa na makundi ya wahun, mfano boko haramu, m23, ntelahamwe, hata ukawa pia watatupeleka uko wasipodhibitiwa kueneza uongo na chuki miongon mwa watanzania wanaopendana sana, mwenye akili timamu muulze hasa manufaa ya ukawa ni nin? Atakuambia hakuna, ila kund la wahuni tu wanaotaka kuligawa taifa
Hamadi njaa mbya sna..unasaliti utu wako kisa njaa..pole sana hamadh
mkuu nisaidie nani mwenye njaa kati ya malimu selfu ambaye analipwa mshahara na ccm na yule hamad ambaye anaendesha maisha yake kwa kujitegemea mwenyewe.
Picture is worth thousand words.Tatizo la hamadi ni wivu ameona amepigwa bao na wenzake nachama chake cha usaliti adc..uroho na tamaa itammaliza hamadi
Mkuu hicho chuo ulichosomea matusi naomba unielekeze kilipo!Kama hamna hoja bora kukaa
kimya, umebutuliwa asubuh hii na kukurupuka bila ya kuchamba, kiukwl
mashoga wanatuchafulia sn hii JF safarii hii chemba anawalapuwa kwl si
utan,
Na mpka ikifika 2015 utakuwa huwez kutembea tena utatembea kwa kutanua
miguu na bado, Ukawa inazidi kuchanja mbuga tu ww unatumika ile tigo ya
zaman
Mbunge wa Wawi Hamad Rashid amesema UKAWA ni Boko Haram,wanaeneza chuki serikali inawangalia tu.
Source: magezeti asubuhi rfa
Mbunge wa Wawi Hamad Rashid amesema UKAWA ni Boko Haram,wanaeneza chuki serikali inawangalia tu.
Source: magezeti asubuhi rfa
Tofauti yake ni kwamba boko haram iko nigeria wakati ukawa iko tanzania, hakuna tofauti ingine
mkuu wewe ndiyo kibatali kabisa hujielewi kabisa ukoo wenu wote hamuwezi kufikia upeo wa hamadi Rashid.
Hamadi anasema kwann serikali isiwazibiti ukawa...aise huyu jamaa hazimo kweli.