Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 24,940
- 26,796
Kumbe kuna waisilamu wanaowakejeli Boko Haram!!?Mbunge wa wawi hamad rashid amesema ukawa ni boko haram,wanaeneza chuki serikal inawangalia tu.magezeti asubuhi rfa
Kumbe kuna waisilamu wanaowakejeli Boko Haram!!?Mbunge wa wawi hamad rashid amesema ukawa ni boko haram,wanaeneza chuki serikal inawangalia tu.magezeti asubuhi rfa
huyu mbunge atakua hana uelewa wowote kichwani kwake eti jana anasimama na kusema UKAWA ni boko haram....hvi kwa mtu timamu unaweza kulinganisha vitendo wanauyofanya boko haram nt ukawa?..,
Mbunge wa wawi hamad rashid amesema ukawa ni boko haram,wanaeneza chuki serikal inawangalia tu.magezeti asubuhi rfa
faiza fox wahi huku uweke mambo sawa.
Huyu mzee ni mtu asiyefaa na anahitaji kupuuzwa tu hakuna zaidi. Amejawa na chuki binafsi na uroho wa madaraka ndo maana CUF walimtosa. Aishukuru sana mahakama la sivyo angekuwa historia kwenye medani za siasa.
Mbunge wa wawi hamad rashid amesema ukawa ni boko haram,wanaeneza chuki serikal inawangalia tu.magezeti asubuhi rfa
Ndiyo maana anakelwa na tabia ya upinzani wa leo kwasababu yeye wakati wake hakuwa na upinzani wa kijinga kama wa leo ambao unalenga kuvunja nchi.
Huyu mzee naona njaa inakaza zaidi.. siku hizi amekuwa akiponda upinzani na kusifia serikali....anafanya kama alivyofanya Lyatonga na kupata fadhila za serikali. Tumbo nalo si mchezo...
Thibitishen huo uongo bona mnshindwa?? Mmekazana tu uongo halafu uthibitisho hamtoi wakati wenzenu ukawa wanathibitisha uingo wenu kwa data ,nyie ccm vipi mmezoea kudanganya kudanganya kila siku mna fikiri mtaendelea milele?? Na bado mtaita majina yote lakini shuhuli mtaiona minyoo nyieMnaokubaliana nami kuwa aman katika nchi yoyote ile hutoweka pale inapochezewa na makundi ya wahun, mfano boko haramu, m23, ntelahamwe, hata ukawa pia watatupeleka uko wasipodhibitiwa kueneza uongo na chuki miongon mwa watanzania wanaopendana sana, mwenye akili timamu muulze hasa manufaa ya ukawa ni nin? Atakuambia hakuna, ila kund la wahuni tu wanaotaka kuligawa taifa