Tulieni dawa iwaingie vizuri boko haram nyieHamadi njaa mbya sna..unasaliti utu wako kisa njaa..pole sana hamadh
Wewe ndio unayetumia kichwa kufugia tu nywele. Mkiambiwa ukweli mnaanza kuweweseka..go on hamad goooo!!Hamadi anasema kwann serikali isiwazibiti ukawa...aise huyu jamaa hazimo kweli.
Tofauti yake ni kwamba boko haram iko nigeria wakati ukawa iko tanzania, hakuna tofauti ingine
Hamadi anasema kwann serikali isiwazibiti ukawa...aise huyu jamaa hazimo kweli.
Tofauti yake ni kwamba boko haram iko nigeria wakati ukawa iko tanzania, hakuna tofauti ingine
selfu analipwa na serikali kwa mujibu wa sheria ipi kama siyo kusaidiwa maisha na kuendelea kutumika vizuri subiri yatakapoanza kulipuka mtaona msikimbiane baadaye.Seifu analipwa na Serikali kwa Mujibu wa Sheria pasipo kificho. Hamadi Rashid analipwa Njuruku kwa kuongwa kuwasaliti wenzake ndo tofauti yao. Anachotewa yale mabilioni yanayopotea potea na ameshajua kwamba Wawi hakubaliki sasa hivi naye anaanza kusema kugombea urais ili kiwe kisingizio cha kukwepa aibu ya kubwagwa.
Mbunge wa wawi hamad rashid amesema ukawa ni boko haram,wanaeneza chuki serikal inawangalia tu.magezeti asubuhi rfa
jenga hoja kwanza, mjinga wewembunge wa wawi hamad rashid amesema ukawa ni boko haram,wanaeneza chuki serikal inawangalia tu.magezeti asubuhi rfa
Afadhali angesema Anti Baraka kuliko Boko Haramu . Maana pale mwanzo walianza kwa kusema Chadema ni chama cha Wakristo sasa leo wamekurupuka tena:Mbunge wa wawi hamad rashid amesema ukawa ni boko haram,wanaeneza chuki serikal inawangalia tu.magezeti asubuhi rfa