gondolwa
Senior Member
- Dec 3, 2012
- 164
- 17
It is true
Acha umaku
It is true
mkuu wewe ndiyo kibatali kabisa hujielewi kabisa ukoo wenu wote hamuwezi kufikia upeo wa hamadi Rashid.
Waswahili husema "mcheza kwao hutunzwa."huyu Hamad Rashid anajivunia nini jimboni kwake? Kama haikufaa rangi itafaa chokaa?
Viongozi
wetu wachague
maneno
ya kuzungumza !
Boko haram!
.hapana !--!!
Huyo mjinga wanaoeneza chuki ni Jakaya Kikwete anayetisha kutumia jeshi kuulinda muungano, Mizengo Pinda anayetaka vyombo vya dola kupiga raia, William Lukuvi mchochezi wa kanisani, Nepi Mnauye anayebwata kama mwendawazimu na kuwaita wenzake vichaa wakati wao wakiambiwa hivyo wanadai ni matusi, John Komba aliyevimbiwa tumbo anayedai kwenda msituni serikali tatu zikianzishwa na Makonda na lugha zake chafu. Hao ndio wanaopaswa kuchukuliwa hatua na serikali kama ipo.Mbunge wa Wawi Hamad Rashid amesema UKAWA ni Boko Haram,wanaeneza chuki serikali inawangalia tu.
Source: magezeti asubuhi rfa
Huyo ni Juliana Shonza namba 2. Ukitaka kuwa zuzu ingia au fungamana na CCM. Si unaona akina Shvji walivyoharibiwa uprofesa wao? Sasa inakuwa ni vigumu kuwatofautisha na akina NepiCCM wabaya sana huwa wanawachoma hawa watu sindano ye wendawazimu ama inakuwaje.....maana kila anayefungamana nao lazima aje na hoja za kitoto na majungu.