Hamad Rashid Mohammed naye kuondoka CUF!

Wakuu zangu,
Jamani msianze kuchemsha na pumba.. yaani hata Kujiunga na chama mnataka kusema kuna Umri?..akili zenu zimelala ktk kupiga kura basi kila kitu kinatakiwa kifuate Umri huo.. Unaweza kabisa kujiunga na chama ukiwa mdogo inategemea na utaratibu wa kila chama..Mao Tse Tung aliwabatiza watoto chama wakiwa wadoigo miaka 2 tu iwe leo kuna sheria za kimataifa kulazimisha umri wa kujiunga na chama!.. Duh mama kweli demokrasia tumeivamia vibaya..
 
Back
Top Bottom