BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,376
- 8,118
Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo akichukua nafasi ya @zittokabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho
Katika uchaguzi huo @SemuDorothy ameshinda kwa kupata kura 534 sawa na asilimia 65.7% ya kura zote, huku mshindani wake Mbarala Maharagande akipata kura 184 sawa na asilimia 34.3%.