kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,922
nasi l. nasi m. 600 ungeikaa ttz wivu mfyuuuu !!![/QUOTE said:Mfyuuu!? hayo ni ya matusi ya blogu ya 'sinta' sio JF
nasi l. nasi m. 600 ungeikaa ttz wivu mfyuuuu !!![/QUOTE said:Mfyuuu!? hayo ni ya matusi ya blogu ya 'sinta' sio JF
we ungepewa iyo m. 600 ungeikaa ttz wivu mfyuuuu !!!!
NASKIA kapewa million 600 tu akaamua kuuza utu wake na wale waliomchagua....usiniulize nimeskia wapi....
Nimekusoma kiongozi,kwa anavyotia aibu kwa sasa ni noma.
Upinzani kwa tiketi ya CCM.
Hamadi ni mbunge msaka tonge, ni zao la interahamwe! Hana jipya, wawi wajiandae kupata mbunge mwingine, hamad ameshatekwa na watanganyika tayari!
Huyu jamaa ni pandikizi la ccm