Hamad Rashid Mbunge wa Wawi (CUF) Kuhami CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamad Rashid Mbunge wa Wawi (CUF) Kuhami CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Feb 7, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Mbunge wa Wawi (CUF), Hamad Rashid (kushoto), baada ya Rais kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma jana akitokea jijini Mwanza. Mbunge huyo alienda uwanjani kumpokea Kikwete alipotua Dodoma kuja kuonana na Wabunge.​
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Rais amekwenda kuonana na wabunge na Hamad ni MBUNGE......................nini cha ajabu?
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Rais anaenda kuonana na wabunge wa CCM si wabunge wa CUF
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwani alihama ccm lini?
   
 5. Jeruh

  Jeruh Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Sio kuhamia ccm,ni kurudi ccm.teh teh teh!
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hamnazo Rashidi sasa anaonyesha rangi yake halisi!
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Umeona ee? Anarudi alikotoka, upepo unavyomwendea unamzidi kasi bora ajiweke sawa kwa CCM.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,546
  Trophy Points: 280
  Haswaa!
   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Anabembeleza Kikwete ampokee CCM
   
 10. N

  Njele JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani ajabu? Kikwete CCM A na huyo wa Wawi ni CCM B.
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Una maana anarudi alikotoka?
   
 12. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,720
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  mkuu, kwani huwajui wabongo kwa fitina na majungu???!!!!
   
 13. Mmawia

  Mmawia JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2014
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 56,570
  Likes Received: 21,659
  Trophy Points: 280
  Wana jamvi,nashindwa kujua ni upande gani mbunge wa wawi Hamad Rashid anawakilisha ktk bunge la jmt,huyu amekuwa ni tofauti na nia na maana halisi ya vyama vya upinzani,kuikosoa serikali na kutetea maslahi ya wananchi.yeye amekuwa against na hoja zote za wapinzani,sasa tumueleweje?
   
 14. wabara

  wabara JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2014
  Joined: Sep 30, 2013
  Messages: 1,513
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchangia popote pale, halafu fahamu kuwa hizi siasa za hapa nchini mwetu ni ulaghai mtupu hakuna chama cha ukombozi hata kimoya.

  Kuumiza misuli yako ya fahamu juu ya ati wabunge wa upinzani au chama tawala bora ujiumize kutaka kuitafutia family yako riziki ya halali.
   
 15. u

  umla JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2014
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 1,167
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Hamad na ZZk wote wamekuwa misukule wa CCM njaa mbaya.!!
   
 16. Gefu

  Gefu JF-Expert Member

  #16
  May 15, 2014
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 6,962
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  ...aliye kinyume na wapinzani basi si mpinzani, mbona jibu lipo wazi kabisa mkuu..? usiangalie chama chunguza hoja na matendo yake ktk chama ndo utamjua mpinzani halisi na pandikizi. inshort mapandikizi wote mwisho wa mission yao huwa kuanzisha mgogoro na kutaka kuvuruga chama, wafuatilie utabaini mjomba....
   
 17. amakyasya

  amakyasya JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2014
  Joined: Jun 26, 2013
  Messages: 3,463
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Interahamwe patner
   
 18. I

  IKWETE JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2014
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 4,067
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hamad Rashid=Zitto=Shibuda=ACT=Dengue
   
 19. L

  Lekakui JF-Expert Member

  #19
  May 15, 2014
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,411
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  A na B ni sawa
   
 20. m

  mbakka JF-Expert Member

  #20
  May 15, 2014
  Joined: May 29, 2013
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hamadi Rashid ni mbunge wa mahakama na mlezi wa chama cha ADC, zitto kabweni mbunge wa mahakama na ni mlezi wa chama cha ACT.
   
Loading...