mcmamo mkali
Member
- May 12, 2014
- 56
- 6
ucchukie wala ucshangae kaka,huyu jamaa ni kifaa sema mgogoro wake na cuf umemfanya aendelee kuwa mbuge kupitia mahakama,pengine hii ndo linamfanya ayumbe kwa sasa.maana ubunge wa mahaka unafika ukingoni mwakani.kama anajiegemeza sana ccm inawezekana anataka arudi kwa mainterahamwe ila kiukweli kama atafanya hivyo atakuwa amechemka sana,ushauri kwa bwana Rashid;much better kustaafu politics kuliko kujiunga na interahamwe, that's one, two uckate tamaa haraka kiasi hicho wewe ni jembe unakubalika,upo mbadala wa ccm,cuf na cdm nao ni ACT pse bro nakuomba ujongee huku panakufaa sana maana ndoto zako za kuwa presidaa wa zenjbar zitakamilika,welcome sir hamad Rashid.