Hamad Rashid Mbunge wa Wawi (CUF) Kuhami CCM?

Hamad Rashid Mbunge wa Wawi (CUF) Kuhami CCM?

nasi l. nasi m. 600 ungeikaa ttz wivu mfyuuuu !!![/QUOTE said:
Mfyuuu!? hayo ni ya matusi ya blogu ya 'sinta' sio JF
 
Hamad Rashid ni Mbunge wa kuchaguliwa kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi wa CUF anasonga na utendaji wake kwa tiketi ya Mahakama; hivyo kama Mahakama ijulikanavyo kuwa ni chombo cha kutenda haki basi naye anasimamia kwenye Mhimili huo wa kutenda haki.
 
NASKIA kapewa million 600 tu akaamua kuuza utu wake na wale waliomchagua....usiniulize nimeskia wapi....

Akili za Upawa utazijua tu....mnaropoka bila kufikiri, punguzeni ulimbukeni. Inakuwaje kila aliye na fikra tofauti na zenu basi msaliti? Mbona mmeonekana kwenye kemera mkipokea milungula na Mulugo akawaumbua? Halafu mjengoni mnatokwa na mapovu midomoni ya kinafiki deep inside mkijua mshachukua rushwa?
 
Nimekusoma kiongozi,kwa anavyotia aibu kwa sasa ni noma.

Anamtia aibu mamayako au mumeo? Mbona waswahili mnaropokwa tuu bila kujitambua' ama kweli ninyi mtakua ni upawa kamwe hamuwezi kuwa ukawa.
 
Hamadi ni mbunge msaka tonge, ni zao la interahamwe! Hana jipya, wawi wajiandae kupata mbunge mwingine, hamad ameshatekwa na watanganyika tayari!

Kwahiyo tatizo yeye kufanya kazi na watanganyika? Mmezoea ubaguzi
 
Back
Top Bottom