Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
hahahah!!don shoot imwhere's ma gun @?
shyt!!!
hahahah!!don shoot imwhere's ma gun @?
shyt!!!
MS! Te Teh!Source
CDM siyo dampo la wanasiasa wabovu kama akina Hamad Rashid, tamaa yake ya madaraka imemponza. kama vp ajiunge na Chama cha Magamba.
Tayari mgogoro mkubwa wa kimaslahi binafsi umeikumba Cuf baada ya hamad Rashid kumpinga waziwazi maalim seif na sasa anamkakati wa kumngoa ktk nafasi ya katibu mkuu wa cuf na pia kutaka kuiteka kambi ya maalim seif huko Pemba. Mkakati huo umekuja baada ya hamad rashid na kundi lake kutumia muda mwingi kutembelea kisiwa cha Pemba ili kumkosanisha maalim seif na wakazi wa Pemba ambao idadi yake kubwa ni Cuf.
Hamad rashid amechukua hatua hiyo baada ya kugonga mwamba kupata nafasi ktk bunge kama mmoja ya viongozi wa kambi ya Upinzani bungeni baada ya CDM kumwekea vikwazo. pia hatua ya rashid inakuja baada ya kuongolewa nafasi ya mkuu wa kambi isiyorasmi bungeni ambapo habib mnyaa ameichukua.
habari amabazo zimeenea eti Mpango huo wa hamad rashid kutaka kutafautiana na Maalim unatoka na mpango hamad rasdhid kutaka kuahmia chadema. rashid licha ya kuonekana waziwazi kutomshinda maalim seif . mapngo huo unafanywa ili hamad aone ameonewa na apate sababu ya kuhamia cdm. kwani cdm ilihusishwa na hamad rashid kutaka kuwa mgombea mwenza wa dk slaa 2010
CDM siyo dampo la wanasiasa wabovu kama akina Hamad Rashid, tamaa yake ya madaraka imemponza. kama vp ajiunge na Chama cha Magamba.
<br />Tayari mgogoro mkubwa wa kimaslahi binafsi umeikumba Cuf baada ya hamad Rashid kumpinga waziwazi maalim seif na sasa anamkakati wa kumngoa ktk nafasi ya katibu mkuu wa cuf na pia kutaka kuiteka kambi ya maalim seif huko Pemba. Mkakati huo umekuja baada ya hamad rashid na kundi lake kutumia muda mwingi kutembelea kisiwa cha Pemba ili kumkosanisha maalim seif na wakazi wa Pemba ambao idadi yake kubwa ni Cuf.<br />
Hamad rashid amechukua hatua hiyo baada ya kugonga mwamba kupata nafasi ktk bunge kama mmoja ya viongozi wa kambi ya Upinzani bungeni baada ya CDM kumwekea vikwazo. pia hatua ya rashid inakuja baada ya kuongolewa nafasi ya mkuu wa kambi isiyorasmi bungeni ambapo habib mnyaa ameichukua.<br />
habari amabazo zimeenea eti Mpango huo wa hamad rashid kutaka kutafautiana na Maalim unatoka na mpango hamad rasdhid kutaka kuahmia chadema. rashid licha ya kuonekana waziwazi kutomshinda maalim seif . mapngo huo unafanywa ili hamad aone ameonewa na apate sababu ya kuhamia cdm. kwani cdm ilihusishwa na hamad rashid kutaka kuwa mgombea mwenza wa dk slaa 2010
Hongera Malaria Sugu kwa taarifa hiyo. Duh! Umebadilika sana siku hizi!