HAMAD RASHID katika Njama za Kumng'oa Maalim Seif?

Hamad Rashid anadaiwa kupanga mkakati wa wa kumuengua Maalim Seif kwa madai kwamba tangu aingie kwenye Serikali ya mseto kama Makamu wa kwanza wa Rais ameshindwa kukiendeleza chama na kinaelekea kumezwa au kufa kabisa.

Mytake: Hamad Rashid mbona alikuwa anaitetea sana serikali ya mseto? Je, hakujua madhara yake?

Source:Tanzania Daima la Leo 25.05/2011 Hamad Rashid Kitanzini

Mpaka kieleweke, safi sana. Huyo amekaa sana katika hiyo nafasi.:mod:
 
Hamad Rashid anadaiwa kupanga mkakati wa wa kumuengua Maalim Seif kwa madai kwamba tangu aingie kwenye Serikali ya mseto kama Makamu wa kwanza wa Rais ameshindwa kukiendeleza chama na kinaelekea kumezwa au kufa kabisa.

Mytake: Hamad Rashid mbona alikuwa anaitetea sana serikali ya mseto? Je, hakujua madhara yake?

Source:Tanzania Daima la Leo 25.05/2011 Hamad Rashid Kitanzini

Kwani hujui watu wenye maslahi binafsi huwa always hawajui mbele yao kutatokea kitu gani ndo maana huwa wanaishia pabaya ndo hii
 
Hizo ni Porojo Kaka, Maalim Seif na Hamad Rashid ni maswahiba wakubwa sana hawa. Maalim Seif akija Dar we tembelea Kempiski Hotel lazima Hamad Rashid utamuona nyuma yake kama kumbi kumbi. Ukubwa RAHA kaka
 
professor yeye anapiga mzigo tu ila siku hizi anahutubia uchochoroni probably hiyo ndiyo new C.U.F, siyo ile ngnagari ya enzi za shaban mlowo na james Mapalala
 
Back
Top Bottom