Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
He!! Wameharibu nini??duhu, cdm bana kwa uharibifu
He!! Wameharibu nini??duhu, cdm bana kwa uharibifu
Duh!! kumbe hujui kuwa Prof Lipumba ni picha tu inayotumiwa kwa ajili ya katiba tu, lakini bosi wake ni Maalim Seif? tumeshuhudia jinsi anavyopanga foleni kumwona akienda kupeleka ripoti Zanzibar, pia nae Seif anatumiwa na Waarabu wa Oman wanaotuma pesa kwa kupitia kwa kina Imail Jussa, anaepandishwa cheo sasa baada ya kazi yake ya kuchochea chuki dhidi ya wakoloni weusi yaani Tanganyika kushindwa, sasa anapewa kazi tu ya unaibu katibu mkuu Cuf.Hivi Mlima Kilimanjaro sorry Profesa Lipumba bado ni mwenyekiti wa CUF? Kama ndio, kazi yake hasa ni nini ndani ya chama?
Mbona mna haraka ??? Mpira unaochezwa na CUF kwenu ni mgumu sana na hamuwawezi ,tena inaonekana hamjui hata fomula wanayotumia ,yaani watu dizaini zenu ni watu waliofilisika kisiasa na hamjui mtendalo ,Kama ni kutuliza boli basi CUF wametuliza na wanacheza huku wakionana kwa pasi ndefu na fupi ,wakiwa na uhakika kabisa wa goli la ushindi nalo ni kuweka mguu wa pili Ikulu !!!
Mbona mna haraka ??? Mpira unaochezwa na CUF kwenu ni mgumu sana na hamuwawezi ,tena inaonekana hamjui hata fomula wanayotumia ,yaani watu dizaini zenu ni watu waliofilisika kisiasa na hamjui mtendalo ,Kama ni kutuliza boli basi CUF wametuliza na wanacheza huku wakionana kwa pasi ndefu na fupi ,wakiwa na uhakika kabisa wa goli la ushindi nalo ni kuweka mguu wa pili Ikulu !!!
Hamad Rashid anadaiwa kupanga mkakati wa wa kumuengua Maalim Seif kwa madai kwamba tangu aingie kwenye Serikali ya mseto kama Makamu wa kwanza wa Rais ameshindwa kukiendeleza chama na kinaelekea kumezwa au kufa kabisa.
Mytake: Hamad Rashid mbona alikuwa anaitetea sana serikali ya mseto? Je, hakujua madhara yake?
Source:Tanzania Daima la Leo 25.05/2011 Hamad Rashid Kitanzini
Tunajiandaa Mkuu
Amalizie tu adhma yake ya kuhamia cdm kabla ya 2015. Unajua ukiwa sehemu mbovu maranyingi mambo yako hayaendi sawasawa. Komaa tu hamadi.:mod:
Hizi siasa eti huyu Mwarabu huyu mmakonde mnazijuwa nyinyi watu wenye makabila. Wewe umesikia wapi Mwarabu akaitwa Jussa au Mnyaa kuwa Mwarabu? Zanzibar mlipoivamia kwa hila mlikuwa mkijuwa kuwa ni kisiwa chenye mchanganyiko wa watu waliowakiishi kwa umoja wao. Mkatumia njia za kinafiki kutaka kuwagawa Wazanzibari lakini mlishindwa mwishowe na haya ndio matukio yake ya Wazanzibari kuwa kitu kimoja kama Wazanzibari sio kama Warabu au weusi.Kweli kabisa, huyo Mwarabu Ismail Jussa alipewa kazi ya Kuchochea chuki dhidi ya Ukoloni Mweusi yaani Tanganyika, baada ya kushindikana sasa ni Naibu wa CUF, yeye na Mwenzake Mnyaa bosi mdogo wa Upinzani bungeni ndio Waarabu wa Cuf wanaoifadhili kwa kutumia mshiko toka Oman, ukiona wanapokea vyeo vya Cuf yao ni kuwa Maalim anakaribia kukaa pembeni na kuwarudishia wenyewe waarabu kampuni yao ya Cuf yenye nia ya Kuvunja Muungano daima, ili Ukoloni mweusi uishe na Waarabu waliofukuzwa na Karume na Nyerere warudi, hii mpaka kesho ndio ajenda ya kweli ya CUF, hicho ki Lipumba, Sakaya, Julius ni picha za dekoresheni tu?
Mi kila mara nawaambia hamnisikii, cuf sio chama!, we uliona wapi chama mgombea 1 miaka 25?, watu wale wale leo wanapinga kesho wanatetea ccm?! Mnakumbuka maalim alivyoenda kula starehe ulaya na Mangula katibu mkuu wa ccm kipindi hicho?, pale ndipo walikamilisha mkataba wa kuiuza cuf kwa ccm!, pole yao wanaoamini cuf, lipumba, seif, haji duni na hamad kama ni wapinzani!, wamuulize rwakatale
Watu munatakiwa kujua kua zanzibar ya sasa hatuhitaji sana vyama vya siasa tunahitaji maendeleo zaidi.
Kule zeji watu wameshashituka sasa na nyinyi Tanganyika mkikua mutatuelewa na huenda mukafuta hizo njia tutakazopita.
Nasema haya kwakujiamini kwani kila nikiiangalia Tanganyika naiona zanzibar yazamani imehamia huko(wanasiasa kupigana,viongozi kuzomewa,wafuasi wa vyama vyaupinzani kusweka ndani bila ya kesi,maandamano yasioisha,risasi nje nje polisi kuwapiga raia n,k) Hivyo ndivyo ilivyokua zanzibar ya 1995-2005.
Kwasasa hatujajuta bado na tunatamaa kubwa ya maendeleo ya wananchi na sio ya vyama,huenda sikuza mbele vyama vikakosa soko Zanzibar.