Hamad Rashid: Hakuna haja ya Serikali tatu

Hamad Rashid: Hakuna haja ya Serikali tatu

KERO ZA MUUNGANO NI HIZI:-
  • FEDHA NA UCHUMI VISIWE VYA MUUNGANO
  • ULINZI NA USALAMA VISIWE VYA MUUNGANO
  • MAMBO YA NJE ISIWE MUUNGANO
  • URAIA NA UHAMIAJI ISIWE YA MUUNGANO

KAMA HIZO ZINAWEZEKANA KUSHUGULIKIWA SAWA.TUBAKI NA MBILI HAYO YASHUGULIKIWE.ndio maoni ya wazanzibar hayo
 
Hana lolote hofu yake ni kupoteza ubunge kwani tukiwa na serikali 3 kuna majimbo mengi ya Bunge la sasa yatafutwa na hasa ya Zanzibar katika Bunge la sasa la Jamuhuri kwani yatakuwa hayana maana tena.
 
Yeye mzanzibar anasema hivyo maana wao tayari wanaserekali yao sasa na sisi tunaitaka TANGANYIKA YETU no way. Huyo Hamad hajui sera ya chama chake?

uroho tu wa madaa unawasumbua ninyi mnaojinadi na serikali tatu.
 
Kiswahili kinakushinda kuandika unataka kujadili muundo wa serikali?


Typing error hiyo.....

Hivi nyie mbona hamueleweki? Uchaguzi wa udiwani mmeangukia pua Leo mmnaidaka hoja ya serikali tatu vipi nyie?

Mtaweza? Chama kimebomoka mnapumulia MASHINE halafu mnataka makubwa mtayapata wapi?

poor CDM
 
KERO ZA MUUNGANO NI HIZI:-
  • FEDHA NA UCHUMI VISIWE VYA MUUNGANO
  • ULINZI NA USALAMA VISIWE VYA MUUNGANO
  • MAMBO YA NJE ISIWE MUUNGANO
  • URAIA NA UHAMIAJI ISIWE YA MUUNGANO

KAMA HIZO ZINAWEZEKANA KUSHUGULIKIWA SAWA.TUBAKI NA MBILI HAYO YASHUGULIKIWE.ndio maoni ya wazanzibar hayo

Hizi kero zako, za Waryoba au za Watanzania?
 
ukishakuwa mbunge wa mahakama hata uwezo wa kufikiri hupungua sana
 
anataka uzoefu upi?mbona hasemi serikal 1 situliungana.

Kupe hawa, wanajua kwa muundo wa serikali mbili za sasa, hawa kupe wanafaidi. Kama kweli wanataka muungano wa kweli popote pale duniani basi iwe serikali moja!
 
So baada ya kufukuzwa CUF kaamua kubadili msimamo wa kuitetea Zanzibar na kutaka zazibar huru.
 
Anabembeleza urafiki wake na Pinda

Tanganyika yetu itakuja tu, MaCCM hawawezi kuizuia, ni suala la muda tu.
 
Kupe hawa, wanajua kwa muundo wa serikali mbili za sasa, hawa kupe wanafaidi. Kama kweli wanataka muungano wa kweli popote pale duniani basi iwe seriali moja!

Mimi naungana na CCM, kwani msimamo wao wa serikali mbili baada ya kuona Waryoba amenunuliwa kupigia chepuo serikali 3 badala ya 3 zilizotegemewa na watanzania walio wengi.
 
uroho tu wa madaa unawasumbua ninyi mnaojinadi na serikali tatu.

Twendeni moja basi nyie ambao hamna uroho wa madaraka wa zanzibar, mfute mauroho yenu ya rais wa znz makamu wawili na mabaraza yenu kama kweli mko serious au ndio ule msemo wa CHAKO CHETU CHANGU NI CHANGU MWENYEWE
 
Huu ni muendelezo wa BIFU na Maalim Seif. Hii kitu huwezi kuiongelea PEMBA anapokuwakilisha. Kweli nazidi kuamini, siasa is a dirty game.
 
Ulitarajia mawazo gani kutoka kwa mbunge wa mahakama na pandikizi la ccm.
 
Anabembeleza urafiki wake na Pinda

Tanganyika yetu itakuja tu, MaCCM hawawezi kuizuia, ni suala la muda tu.

Tangazeni Kilimanjaro yenu mtuachie Tanzania yenu. Ndipo mtaanza kugawanyika warombo, wamachame, wakibosho na Wamarangu.
 
Katika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani

Mbili zipo wapi Duniani
 
Basi kuwe na serikali moja tu.
Watu wote wenye akili ya kuweza kupata A+ watakuja na jibu kama lako, na wale wanaoweza kujikongoja na kupata D ndio mashabiki wakuu wa serikali mbili. Wa serikali tatu ndio wamo katikati ya hizi marks mbili. Mwenye akili na aelewe tuliposimama!

 
Huu ni muendelezo wa BIFU na Maalim Seif. Hii kitu huwezi kuiongelea PEMBA anapokuwakilisha. Kweli nazidi kuamini, siasa is a dirty game.

Tangazeni Kaskazini yenu, LYIMO mbona mnatupotezea muda?
 
Back
Top Bottom