Watanzania, tuliishasema, hutu tuvyama twa upinzani tunatoanzishwa ni matawi ya ccm, Hamad Rashidi kaanzisha ADC kwa mgongo wa ccm, baada ya kuigawanya cuf, unategemea atakuwa kinyume na ujinga wa ccm tena akiwa TBC redio yao, kuna katawi kengine ka ccm kameanzishwa kanaitwa ka ACT, ka huyu dogo msaliti Zitto na doctor asiyejielewa Kitila, unafikiri kana msaada gani kwa watanzania zaidi ya kuwagawa watu kutoka Chadema, ili ccm iendelee kupeta, it is too late, watanzania wameelika na wanaendelea kuelimishwa, dhambi ya usaliti itawatafuna sana, ukiisaliti Chadema, umewasaliti watanzania.