kero hazitatuliki zilee... Tumekuwanazo tangu day one ya muungano...Katika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani
Katika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani
Uzoefu wa Serikali 2 uko wapi?
Katika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani
Mambo ya chama yanawashinda mbataka serikali 3 mtapata?
Katika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani
kero hazitatuliki zilee... Tumekuwanazo tangu day one ya muungano...
Kama 2 ziliwezekana kwanini 3 zisiwezekane??uzoefu wa serikali 2 upo wapi duniani?inakuwaje mtu anaongea kwa lengo la kufurahisha watu fulani?serikali 2 ni ulaghai wa ajabu!!nchi ndani ya nchi!!mipaka ndani ya nchi!!amiri jeshi wakuu wawili ndani ya nchi!!
Suruhisho hapa ni serikali moja
Basi kuwe na serikali moja tu.
Hamad Rashid, nilifurahi sana baada ya CUF kuusafisha uchafu wake, ndio maana leo anarambaa yale matapishi yake, ila kama anahofia yale mashamba yake ya mizabibu kule Dodoma, sisi tunamwambia kwamb Wazanzibar katu hatutauza utu wetu kwa kujali kitu!!