sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Serikali ya Zanzibar wana bendera yao.. Wimbo wao wa taifa.. Raisi wa Zanzibar ana uwezo wa kugawanya mikoa na wilaya.. Watanganyika wana haki pungufu ya kumiliki ardhi Zanzibar ila Wazanzibar wana haki kamili ya kumiliki ardhi Tanganyika.. Na sasa wanataka wapatiwe haki yao ya kutambuliwa uraia wao.. Jeshi lao na kuwa na sarafu zao.. Halafu bado mnapigia upatu serikali mbili..??