Halotel wapunguza bundle la Chuo "TUMEKWISHA"

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,547
Reaction score
2,194
Hakuna msemo mwingine zaidi ya "Tumekwisha" kwa sisi tunaotumia line za chuo za halotel, kwa maana hiyo nawaaga rasmi kuwa sitakuwa nanyi leo na hata milele.

Tulizoea unajiunga cha 10,000 kwa mwezi na kupewa GB 10,

Kwa sasa wamepunguza mpaka GB 6 kwa mwezi kwa Tsh 10,000

Tumekwisha sisi wazee wa Kwasadala au wazee wa Kitonga.
 
Mm nimezoea kujiunga 10000 kwa halopesa napata bonas ya 3000 kujiunga
10000=10GB
2500=2.5GB
500=500MB
Lakin kwa sasa hawanipati
 
Leo nimepata wakati mgumu sana ktk kujiunga cha wiki kila laini imenibidi niifikirie huduma na kasi....kwa kuwa matumiz yangu niya internet kwa 90% ikanibid nijiunge tu kwa kigezo cha kasi so Hallotel ikashinda dhabuni japo kachoz kantoka mana haitakidhi kumaliza izo 7days
 
Hakuna msemo mwingine zaidi ya "Tumekwisha" kwa sisi tunaotumia line za chuo za halotel, kwa maana hiyo nawaaga rasmi kuwa sitakuwa nanyi leo na hata milele.

Tulizoea unajiunga cha 10,000 kwa mwezi na kupewa GB 10,

Kwa sasa wamepunguza mpaka GB 6 kwa mwezi kwa Tsh 10,000

Tumekwisha sisi wazee wa Kwasadala au wazee wa Kitonga.
Samahani mkuu hivi hakuana bando la chakula kwa Mwezi, say utajiunga ngapi kwa mwezi? Thanks!
 
Wasipojirejebisha watapata anguko kubwa sana
Kweli kabsa, pia wakumbuke kuwa hawakupendwa 7bu ya kuingea na kutuma ujumbe, basi bei na kasi yao ndo iliyoshawshi wengi.

Ndo mana unakuta mtu simu ya Halotel anatumia kwa data tu.. Lakin kuingea ni voda au tigo... Kwa hapa watu watarud walikotoka wengi
 
Hakuna msemo mwingine zaidi ya "Tumekwisha" kwa sisi tunaotumia line za chuo za halotel, kwa maana hiyo nawaaga rasmi kuwa sitakuwa nanyi leo na hata milele.

Tulizoea unajiunga cha 10,000 kwa mwezi na kupewa GB 10,

Kwa sasa wamepunguza mpaka GB 6 kwa mwezi kwa Tsh 10,000

Tumekwisha sisi wazee wa Kwasadala au wazee wa Kitonga.
Mm nimekimbilia vodacom uni offer full GB na dakika za kutosha kwa 1500 tsh tu.
 
Halotel walikuwa wapo kwenye kipindi cha majaribio ndio maana walikuwa wanatoa vifurushi vyao kwa bei ya chini kulinganisha na mitandao mingine na kwa sasa hilo limekwisha na wanalazimika kufuata nyayo za watangulizi wao...
 
Hakuna msemo mwingine zaidi ya "Tumekwisha" kwa sisi tunaotumia line za chuo za halotel, kwa maana hiyo nawaaga rasmi kuwa sitakuwa nanyi leo na hata milele.

Tulizoea unajiunga cha 10,000 kwa mwezi na kupewa GB 10,

Kwa sasa wamepunguza mpaka GB 6 kwa mwezi kwa Tsh 10,000

Tumekwisha sisi wazee wa Kwasadala au wazee wa Kitonga.
Wazee wa miselelekooo
 
Back
Top Bottom