Halotel wanawaibia wateja

Halotel wanawaibia wateja

Wanakulipa Tsh ngapi kuwatetea na kupindisha ukweli uliopo juu ya Utapeli wa HALOTEL? Kwahiyo zile taarifa zote za Media za Tanzania hadi na tukaonyeshwa na Video zao walivyokuwa wanapelekwa Mahakamani sisi Watanzania tulilishwa matango pori?

How do you mean nimelipwa Tsh ngapi? Mimi nakwambia latest information - Viatel/HaloTel gotta nothing to do na utapeli huo. Wala mimi hilo sikushangaa hata kidogo, Serikali ya VietNam na mashirika yake(Jeshi) hayawezi kujingiza kwenye wizi/udanganyifu wa kitoto - hivi inaingia akilini kwamba Taifa ambalo limewekeza ma tillion ya Tsh kwenye masuala ya mawasiliano nchi nzima tena Project nzima ikawa imekamilika in less tha two years(recordtime) kwa kutumia resources zao leo hii ndiyo wajingize kwenye utapeli - it doesn't make sense - does it?? Aliye husika ni former employee wa Halotel ndiye alishirikiana na Wapakistan/Wahindi kufanya udanganyifu kwa kufunga systems kwenye kampuni yao ya kitapeli(Sutex) ili wa bypass monitoring system ya TCRA, hicho ndicho kilifanyika ila katika mbinu hizo walikuwa wanatumia sIM cards za HatoTel.
 
Ni Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.

SMS zao ni hizo ;

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
Piga huduma kwa wateja wakuelekeze jinsi ya kujiondoa kwenye huduma ya mkopo,tatizo lao hata kama uliwahi kukopa mara moja tu,mkopo unakuwa endelevu kila unapopungukiwa salio na wanakata pale unapoongeza salio, inawezekana kuna siku uliweka simu sehemu mtu wako wa karibu akataka kupiga na alipokuta hakuna salio akakopa na sasa ndicho kinachokutafuna.
 
acha kupaka matope kampuni wewe..hata siku moja hawakosei..wewe umekopa huko nyuma umejisahau halafu unalalama umekatwa? dawa ya kudaiwa ni kulipa deni..acha maneno lipa deni
 
itakua uliwai kukopa au kuomba mkopo wa muda wa maongezi maana halotel unapoomba mkopa wanakuunganisha moja kwa moja yani kila unapoishiwa salio na huku ukiwa hauna deni basi wao wanakukopesha automatic,
 
Kweli hata mie toka January nikiweka salio nakuta pungufu,wanakata sh 50 hadi 100 inacheza hapo!kuna siku walinibore yaani nmejaza vocha yangu mchana ili usiku niunge kifurushi cha internet naambiwa salii halitoshi!kuangalia nakuta hamsini inapungua yaani wanakera.Ukipiga huduma kwa wateja haiunganishwi kabisa sasa sijui malalamiko yetu tuyapeleke wapi
 
Hii ishanitokea nikawapigia simu wakarekebisha.

Tofauti na hilo tatizo naona halotel wapo vizuri sana ukilinganisha na hawa Voda na tigo.

Ni Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.

SMS zao ni hizo ;

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
 
Ni Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.

SMS zao ni hizo ;

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
Mkuu unapoingiza vocha unatakiwa uzime data kwanza.
 
Huu upuuzi hata airtel naona wameuanza . Hivi karibuni nilijiunga na kifurushi cha mwezi katka session ya Jipimie. Ila sasa wala sina uwezo wa kuangalia salio. Wala jipimie nayo haionekani.

Nimetafuta namba ya huduma kwa wateja, napo hakuna sehemu ya kuongea na watoa huduma.

Mwenye kuijua namba ya watoa huduma ya kulipia naomba anisaidie

Mtandao ni airtel
 
Nilikaa nikaona halotel internet yao iko fasta sana nikasema hii itanifaa maan ukifungua kitu chocht hukai kusubir ni hapo hapo ishafungua... Nikaona saf nikaweka 10000 nikajiunga bando la mwez Gb 10 na madkk ya kutosha,,,, siku ya kwnz nmetumia ya pili nikajikuta nina Gb 2 kesho yake empty sina mb tena,,, nikasema kwel halotel iko fasta mpk kukata mb nako fasta
 
Huu upuuzi hata airtel naona wameuanza . Hivi karibuni nilijiunga na kifurushi cha mwezi katka session ya Jipimie. Ila sasa wala sina uwezo wa kuangalia salio. Wala jipimie nayo haionekani.

Nimetafuta namba ya huduma kwa wateja, napo hakuna sehemu ya kuongea na watoa huduma.

Mwenye kuijua namba ya watoa huduma ya kulipia naomba anisaidie

Mtandao ni airtel
Kwel kbs airtel ns mtandao wa kutumia na wako vzr sana kuliko wengin
 
Ni Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.

SMS zao ni hizo ;

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
Hata mb za kfurushi cha chuo wamepunguza mb 500 mchana nab mia usk
 
Hawa wanakukopesha kwa lazima..pindi wanaona umeishiwa salio alafu wanakaaa wee wanakusahaulisha siku ya siku wanakufyeka!Yani ni kama ile lifti ya lazima walotoa maafande wa arusha kwa waandishi wa habari
 
Back
Top Bottom