Halotel wanawaibia wateja

Halotel wanawaibia wateja

Ni Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.

SMS zao ni hizo ;

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!

(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
Hizo simu za kutumia na wenza wenu ndio matatizo,unamuachia mwanamke wako simu anakopa anapiga simu zake,wewe unabakia kutoa povu.Nenda customer services watakuonesha siku na saa uliokopa
 
Uliwafikishia malalamiko na hawajayashughulikia?
 
Hizo simu za kutumia na wenza wenu ndio matatizo,unamuachia mwanamke wako simu anakopa anapiga simu zake,wewe unabakia kutoa povu.Nenda customer services watakuonesha siku na saa uliokopa
Hakuna Mimi ndiye ninayetumia simu Yangu no one else. Na huo muda natafua nini wakati nimeshalala na simu imezimwa?
 
Nawe unafikiri ni vichaa?kagua vizuri una deni au umeshajiunga na pata Salio automatically, Fanya HV,tuma SMS OFF,Kwenda,14963
Hilo Salio lilitumika wapi wakati nilinunua kifurushi cha mwezi?
 
Hawa wezi bado wapo ? Line yao ninaihesabia siku kuna siku wataikuta barabarani imekatwa.
 
itakua uliwai kukopa au kuomba mkopo wa muda wa maongezi maana halotel unapoomba mkopa wanakuunganisha moja kwa moja yani kila unapoishiwa salio na huku ukiwa hauna deni basi wao wanakukopesha automatic,
Huu ndo tunaita wizi wenyewe kwa nn unikopeshe wakati sijaomba unikopeshe?
Na je huwa kuna notification ya aina yoyote wanayotuma pindi napokuwa sina salio?
 
this is true...... Leo hadi nimewapigia simu ku complain... kesho ninahama rasmi HALOTEL... wizi wao hauvumiliki
 
Back
Top Bottom