Halotel wana network ya 4g??

Mkuu kuna free 4gb mimi sjazipata na nina kama wiki sasa nafanyaje kuzipata aisee
Sehemu nyingi wanatupiga bei kuswap

China plaza wanaswap kwa buku 2

Halotel makao makuu bureeee


Mawakala wana njaa sio mchezo yaani kuswap tu pesa au zile gb 4 ofa wanataka tuwalipe
 
Haiwezi kuongezeka hiyo 3g mkuu coz umebadili 4g ndo imeongezeka ila 3g inabaki kama mwanzo
Je Kama Nina simu haisapoti 4G,,,inasapoti 3g je nikiweka line ya 4g speed ya internet unaweza kuongezeka kidogo tofaut na mwanzo nikitumia 3g
 
Mkuu kuna free 4gb mimi sjazipata na nina kama wiki sasa nmeswap kwenda 4g nafanyaje kuzipata aisee
Kweli! Watu tuna swap bure na unapata 4GB bure za kutumia week ye analipia!
 
Hii band Ni pasua kichwa mkuu, ukiwa nje pia huipati?
Nina mpango wa kununua hizi outdoor 4G router hivi karibuni nijenge mnara wangu niipandishe juu maana naona maghorofa ya majirani yanablock 4G. Ntaweka uzi wa comparison nadhani ndio itakua solution ya internet ya home
 
Mkuu hata mimi naitumia Samsung a30 inasoma 4g wala sio LTE sjui tatizo ni nn au kuna mtu anatumia halotel ya 4g simu yake inasoma LTE atuambie tujue kama shida ni cm zetu ama laah.!! Maana nachojua mimi 4g na LTE ina kuwa na kasi kubwa zaidi kuliko 4g au nmekosea jmn ndio maana ni vizur isome LTE kuliko kusoma 4g tu.
 
How do they do it?

Maana ukiwasha wifi hotspot simu yako si inakuwa NAT router? It should be invisible kwa mtandao kuwa umeshare
 
How do they do it?

Maana ukiwasha wifi hotspot simu yako si inakuwa NAT router? It should be invisible kwa mtandao kuwa umeshare
Mkuu Huku kulimit hotspot kupo zamani tu na Ni built in feature ya android ambayo isp anaitumia, sijui inavyofanya kazi Ila unaweza kubypass kwa kutumia 3rd party apps/drivers.
 
leo nimepata hawa jamaa,Honest kwa sasa wako vyema lakini sidhani endapo wataendelea na
huu daima
 
Mkuu Huku kulimit hotspot kupo zamani tu na Ni built in feature ya android ambayo isp anaitumia, sijui inavyofanya kazi Ila unaweza kubypass kwa kutumia 3rd party apps/drivers.
Nimesoma soma kidogo. Interesting stuff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…