Uongo kwa upande wako maana eneo Ulipo haisumbui, wengine inatusumbua
Basi kuhusu tigo na wewe Ni muongo maana huku kwetu ipo vizuriWengine sema wewe inakusumbua huku halo iko bomba sana. Kwetu huku Tigo mpaka utafute kichuguu ns Voda bora Airtel . Ttcl mtandao wa mjini tu tusiongopeane nje ya mji hawana nyimbo hata vocha hupati.
Bila shaka wewe utakuwa umetoka moja kati ya maeneo haya, Bariadi, Chato, Lamadi, Kakola, Misungwi au Kishapu.Majizi hayo yameniuzia laini kwa elfu 10
Bora nitumie ttcl, nyumbani kumenoga
Hiyo halopesa kila wakala hana 'float'(sijui ndio hivyo inaitwa)Hapana,hupati.Lazima uingie halopesa.Nadhani wanataka tuitumie halopesa yao.
Njia rahis uwe unahamisha pesa kutoka mpesa au tigopesa kwenda halopesa then unanunua kifurushi ukipendacho..Problem solved!!Hiyo halopesa kila wakala hana 'float'(sijui ndio hivyo inaitwa)
Gharama mara mbili nikiisaka gb 1Njia rahis uwe unahamisha pesa kutoka mpesa au tigopesa kwenda halopesa then unanunua kifurushi ukipendacho..Problem solved!!
Sidhan kama gharama ya kutuma pesa mitandao mingine inazid hata 200..hicho cha voda kizuri kwa dakika za mitandao mingneGharama mara mbili nikiisaka gb 1
Voda ninapata gb1, dakika 150voda na 15 mitandao mingine sms bila kikomo kwa wiki kwa 1500.
Wao na Airtel walisema watatuletea 4G tokea mwaka juzi ila kimyaaaa.hivi hallotel wana 4G?
Nilisema kabla kwamba hicho kifurushi wamekiwekea limitation Kuna Vichwa humu vilikuwa vinabisha.Nimeongea na Customer care wa Halotel kwa nyakati tofauti kuhusu hiyo MEGA kifurushi cha 15Gb kwa 10,000 kwa mwezi.
UFAFANUZI UPO HIVI
KILA SIKU UTAKUWA UNAPEWA 500MB. KWA SIKU 30.
HAWAKUPI 15GB KWA MKUPUO.
Mkuu update haya maelezo kwenye uzi wako.
Kwa upande wa Dar bado sijui.Mimi niko moja ya mikoa ya kusini.Tunategemea sana halotel.
Ahsante sana Bro,Nimeongea na Customer care wa Halotel kwa nyakati tofauti kuhusu hiyo MEGA kifurushi cha 15Gb kwa 10,000 kwa mwezi.
UFAFANUZI UPO HIVI
KILA SIKU UTAKUWA UNAPEWA 500MB. KWA SIKU 30.
HAWAKUPI 15GB KWA MKUPUO.
Voda wamezingua nini tena?Toka voda wazngue halotel amekuwa mfariji wangu
Utoto huo, hizi limitation za kijinga jinga zipo Africa tu. Ulaya internet unailipia kama Bima. Aidha utatumia ama usipotumia wenzio watatumia sehemu yako uliochangia na mtandao ni wa kasi ya ajabu bila limits hata uache laptop ina stream youtube mwezi mzima huduma haikati.Utatumia MB 500 tu kwa siku japo umepewa GB 30